Ni kwa nini bidhaa kutoka zanzibar zina bei nafuu.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,320
2,000
Ningependa kujua inakuaje bidhaa nyingi kutoka zanzibar zinakuwa na bei ya chini ukilinganisha na vya Bara. Sikuizi unasikia watu wanafata mizigo zanzibar na wengi hutangaza biashara ya vitu mbalimbali hasa electronic kutoka zanzibar ambavyo vina bei ya chini.
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
16,109
2,000
Ningependa kujua inakuaje bidhaa nyingi kutoka zanzibar zinakuwa na bei ya chini ukilinganisha na vya Bara. Sikuizi unasikia watu wanafata mizigo zanzibar na wengi hutangaza biashara ya vitu mbalimbali hasa electronic kutoka zanzibar ambavyo vina bei ya chini.
kwa sababu zanzibar ni nchi inayojitambua na kuwajali watu wake
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
23,348
2,000
Mwezi Uliopita NilikuwA Zanzibar Vitu Vya Electronic Ni Nafuu Sana Tena Utashangaa
Nilinunua Nikiwa Na Jamaa Yangu Tv Lg Inch 20 Kwa Bei Ya 160000/-

Kabla Ya Kununua Hiyo January Niliagiza Tv Samsung Inch 21 Kwa Bei Ya 200000/- Ambapo Hapa Nyumbani Ni 380000/-
Nilimuuliza Mwenyeji Wangu Anasema Vitu Hivyo Huagizwa Nchi Za Kiarabu Baadhi Ni Used Vyenye Hali Nzuri Na Vingine Vipya
 
Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,320
2,000
Kuna Tv za samsung smart zinatengenezwa Israel zinauzwa sana zanzibar. Nch 32 had laki 7 unapata.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom