Ni kwa nini Ali Hassan Mwinyi huwa hatumbulishwi kama raisi wa tatu wa Zanzibar badala yake hutambulishwa tu kama Rais mstaafu wa Tanzania .?

torosi

JF-Expert Member
Aug 12, 2020
785
1,308
Wapwa

Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 - 1995 ).

Je kuna makusudi yoyote ya kutokumtambulisha kama raisi mstaafu wa Zanzibar ? na kama haipo kwa nini huwa hatambulishwi kwa vyeo vyake vyote vikubwa.

Haki huinua Taifa.
 
Cheo cha rais wa Tanzania ni cha juu kabisa
Wanamtambulisha kwa nafasi yake ya juu zaidi.
 
Inamaana cheo ya mwenyekiti wa CCM na raisi wa Zanzibar, cha mwenyekiti ni kikubwa zaidi .?

Mbona unachanganya concept mbili ambazo ni tofauti
Ngazi ya juu ya uongozi Tanzania ni Urais wa JMT
Ngazi ya juu ya Chama cha mapinduzi ni mwenyekiti Taifa
Ukimtambulisha kwa nafasi ya urais lazima utaitaja ya JMT na kama chama ni mwenyekiti wa Chama taifa.
 
Huo ukoo umehamia Zanzibar wapo wamwinyi watatu wanagombea Zanzibar kuanzia uraisi mpaka ubunge ,kama huko si unajua ile stori ya Chato International airport ,aliejenga alieidhinisha hela wote dugu moja na sasa iko taka fanya huku Zanzibar tindo hio hio.
 
Kwenye kutambulisha unachagua cheo kikubwa kuliko vyote alivyo navyo kichama mwenyekiti wa ccm ni nafasi ya juu zaidi na kiserikali utais wa jmt ni nafasi ya juu zaidi.
Kwa kuwa zanzibar ni sehemu ya Tanzania.....
 
Wapwa

Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 - 1995 ).

Je kuna makusudi yoyote ya kutokumtambulisha kama raisi mstaafu wa Zanzibar ? na kama haipo kwa nini huwa hatambulishwi kwa vyeo vyake vyote vikubwa.

Haki huinua Taifa.
Hoja hii inainua uchumi wako binafsi kwa kiwango gani?,tuanzie hapo kwanza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom