Ni kwa namna gani naweza kuingiza bidhaa kupitia DHL na Fedex?

Thabit Karim

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
364
645
KUNA MAMBO MAPYA YAMEIBUKA KIPINDI HIKI CHA CORONA

Habari naomba kufahamu njia za kuingiza bidhaa kwa fedex au DHL.

(1) Vitu gani vya kuzingatia?
(2) Je, mzigo unaweza kukufikia popote Tanzania?
(3) Jinsi gani unaweza kuingiza kwa gharama nafuu?
(4) kuna haja ya kufungua account ktk hayo makampuni ili kupata unafuu?
(5) Tauliza maswali mengine

Pia kwanini DHL, Aramex au Fedex wanagharama sana kuingiza bidhaa nchini. Kwa mfano flash inayouzwa elfu tano (5,000) Aliexpress shipping fee ya Fedex, Aramex au DHL unakuta ni zaidi ya laki mbili (200,000) japo kwa posta ni bei nafuu angalau. Kwanini inakua hivyo?
 
Back
Top Bottom