Ni kwa namna gani mazoea yaliathiri baadhi ya mambo yako maishani?

Raphael phockus

JF-Expert Member
Nov 4, 2018
778
4,518
Habari ya mda huu wanajanvi

Kama mada inavyojieleza hapo juu, leo tujadili wote ni kwanamana gani kuishi kwa mazoea kumewai athiri shuguli zako katika maisha.

Chukulia mfano katika vikao/mikutano, nikawaida yetu watanzania kuhudhuria vikao/mikutano nnje ya mda uliokusudiwa kikao/mkutano kuanza.Yaani ukimwambia mtanzania kuwa kikao kitaanza saa tisa (9) arasili yeye atakuja saa kumi (10).

Nawasilisha.

FB_IMG_15992243671903989.jpg
 
Back
Top Bottom