Huyu ni mjanja mjanja sana,kuna mzee alimuingiza mjini akamtapeli gari halafu akamjia na Police......huyo mzee ni mfanyabiashara wa kkoo.........hataki kabisa kumsikia
Nchi zingine hapati kazi maana atafeli police check na security clearance.I can’t believe yanga or GSM are employing him. Ashukuru simba wamemkuza. Huyu mtu asaidiwe jamani he is not well.
Bitozi huyo, Ona alikotoka, ameshindwa kumdanganya Mo. Mo amesoma . GSM kaeni chonjo!!!!!!Huyu ni mjanja mjanja sana,kuna mzee alimuingiza mjini akamtapeli gari halafu akamjia na Police......huyo mzee ni mfanyabiashara wa kkoo.........hataki kabisa kumsikia
Mwalimu katika kudaganya!!!! Ametoka CCM huyo kwenye wezi kibao.Hivi Manara ndio anaitwa Mwalimu...?
Vazi la mahabusu hilo.