Ni kujindaganya kusema CHADEMA ni chama cha ukombozi, nao ni wasakatonge tu...

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,960
wale wote wafuasi wa cha cha chadema mnajindaganya sana kukiita chama eti ni chama cha ukombozi na ni chama makini,

ushahidi yakinifu wa kuzibitisha kwamba chadema ni moja ya chama cha wasakatonge tu,

chadema inapokea hela za ruzuku kutoka serikalini pamoja na hela tunazochanga wanachama makini kama mimi, lakn jambo la kusikitisha mbowe na slaa kuna baadhi ya kampeni zao wanatumia helikopita inayotumia hela nyingi na garama kubwa, huku semehemu mbali mbali chadema haina hata ofisi,
ukifika kwetu mwanza wiliya ya misugwi utakutana na ofisi zilizojegwa na miti na kukadwa kwa matope huku zikiwa na bendera za chama zilizochakaa kweli kweli,
wakati kampeni moja ya kutumia helikopita inaweza ikajenga ofisi hata 10, maeneo ya kijijini tena zenye ubora.

naomba watanzia tufikiri mara mbili, wameshidwa kukijenga chama je? wakichukua nchi

misafara isiyoisha ya kwenda south afrika na dunian kote ni ishara tosha anatumia hela za chama kwa manufaa na starehe zake.Sent from kapembe ka mbuli Using JamiiForums
 
povu hilo ndugu wewe misungwi naijua vilivyo ukisema upinzani misungwi bado pale ni magamba i wish muda ukombozi unakuja.
 
Nahisi wewe utakuwa unaongelea misugwi ya barabarani ukienda mwanza je? ushawahi kufika kule uliopoazia mrandi wa maji kashiwasa. sehemu moja inaitwa ihelele, au nyang'omago
 
chadema ni chama cha wazinguaji na wapigaji wa dili za hela wala siyo kusaidia watu na maendeleo yao.
 
Chadema ni wasaka tonge wengi sana ukianzia mkt katibu mhzina na msemaji waangalie kwenye video hii
 
wale wote wafuasi wa cha cha chadema mnajindaganya sana kukiita chama eti ni chama cha ukombozi na ni chama makini,

ushahidi yakinifu wa kuzibitisha kwamba chadema ni moja ya chama cha wasakatonge tu,

chadema inapokea hela za ruzuku kutoka serikalini pamoja na hela tunazochanga wanachama makini kama mimi, lakn jambo la kusikitisha mbowe na slaa kuna baadhi ya kampeni zao wanatumia helikopita inayotumia hela nyingi na garama kubwa, huku semehemu mbali mbali chadema haina hata ofisi,
ukifika kwetu mwanza wiliya ya misugwi utakutana na ofisi zilizojegwa na miti na kukadwa kwa matope huku zikiwa na bendera za chama zilizochakaa kweli kweli,
wakati kampeni moja ya kutumia helikopita inaweza ikajenga ofisi hata 10, maeneo ya kijijini tena zenye ubora.

naomba watanzia tufikiri mara mbili, wameshidwa kukijenga chama je? wakichukua nchi

misafara isiyoisha ya kwenda south afrika na dunian kote ni ishara tosha anatumia hela za chama kwa manufaa na starehe zake.Sent from kapembe ka mbuli Using JamiiForums
Mkuu huwezi jihalalisha wewe kwa kusakama upinzani.
Unao wezi na majambazi ndani ya safu yako na hujafanya kitu.
Swala ni wewe mwenyewe una uafadhali gani?
You are just as rotten, afadhali tumjaribu yule ambaye ni promising.
 
Back
Top Bottom