Ni kuhusu web development!!!


MtuMmoja

MtuMmoja

Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
98
Likes
3
Points
15
MtuMmoja

MtuMmoja

Member
Joined Aug 30, 2011
98 3 15
Wana jamii,Tafadhali kwa mwenye ujuzi katika Joomla Templates katika web content management naomba anioneshe njia kidogo!!nishaanza php basics pia html niko fiti kiasi!!,nshafanya installation ya xampp na kutengeneza database,Joomla pia nshainstall mpaka,nshapata administrator site ambapo na log in,Na content katika control panel pia nshazisoma!!utata ni error 403-page not found inadisplay katika visitor site!!
Ebwana naombeni msaada katika hili,je ni kosa katika code au kuna setting nimekosea!!!You tube nimeshapita!!
 

Forum statistics

Threads 1,236,915
Members 475,327
Posts 29,272,536