Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,207
- 12,505
Asallam aleykum, bwana yesu asifiwe
juzi nilikuwa na tatizo ambalo lilikuwa likimuhusu mtoto wangu mdogo wa kiume ambaye leo ametimiza miezi miwili.
mtoto alikuwa na tatizo la kulia muda wote hadi sauti inamkauka na kushituka hata ukipita tu pembeni yake, kwa kweli tatizo hili lilinifanya niwe ktk wakati mgumu hata kuhatarisha kazi yangu..moja kuu ni hili la kulia usiku kucha kuanzia saa mbili usiku unabembeleza hadi sa moja asubuhi..mwishi wa siku nikaamua ku google, na majibu niliyapata humu jamii forums, kuna dawa mbili moja ya ki sunni ambayo mzizimkavu alimuelekeza mtu aliyekuwa na tatizo kama la mtoto wangu la kustuka na ya pili niliipata ktk uzi mwingine humuhumu jf ni kuhusu watoto wadogi kuwa na tatizo la gas tumboni/ natanguliza shukrani, mtoto sasa anaendelea vizuri siku mbili hizi hajasumbua kabisa.