Ni kozi gani nzuri ya Biashara kwa ngazi ya cheti itakayonifaa kusimamia na kuongoza biashara vizuri?

akoon

Member
Jan 24, 2021
63
48
Habari za muda huu waungwana.

Samahanini kwa usumbufu mimi ni kijana niliemaliza kidato cha nne mwaka 2007 na kupata division four ya point 27. Na matokeo yangu ni kama yafuatayo:

B/MATHEMATICS C
GEOGRAPHY D
HISTORY D
ENGLISH D
KISWAHILI D
BIOLOGY D
CIVICS D
 
Back
Top Bottom