Ni kozi gani naweza kuchaguliwa kwa uraisi zaidi.

mbesri

Member
May 16, 2017
21
10
Naomba kujua ni kozi gani naweza kuchaguliwa ktk kozi zilizo tangazwa na Nacte kwa vyuo vya serikali,kozi ya ualimu,na afya matokeo yangu ni civ D,blg C,kiss C Engl C,cemD jiog D math f kwa matokeo hayo kozi gani nikiomba naweza pata kwa urahisi.
 
Kwa sababu hujasoma Physics

1. Community health ndo kozi iliyobaki kwa ww upande wa Afya (1yr)

2. Ualimu primary etc kwa upande wa kozi za ualimu
 
Mkuu Hiyo math imekuaribia kuhusu afya ningum labda chuo binafsi kuhusu ualimu huko ndo kabisaa wanataka div 1 na 2 tu ila kama unapenda unaweza tafta cha binafsi. Ushauri kama unataka chuo cha serikali matokeo yako yanaruhusu kusomea IT au Computer science.
 
Ktk kozi mbili hizo lipi nina nafasi kubwa.
Hapo afya sahau hata private coz vigezo vyake ni sawa na government now days , so now una muda wa kutafuta kozi yyte nzuri na kuhusu ualimu wanachukua div1 mpaka div3
 
Sasa ndugu yangu kama ualimu wanahitaji dv 1-2 kidato cha tank wataenda akina nani
 
Naomba kujua ni kozi gani naweza kuchaguliwa ktk kozi zilizo tangazwa na Nacte kwa vyuo vya serikali,kozi ya ualimu,na afya matokeo yangu ni civ D,blg C,kiss C Engl C,cemD jiog D math f kwa matokeo hayo kozi gani nikiomba naweza pata kwa urahisi.
Yan ww hesabu inakuhusu kufundsha kabisa na iyo F....F means https://jamii.app/JFUserGuide you!
 
Kwa sababu hujasoma Physics

1. Community health ndo kozi iliyobaki kwa ww upande wa Afya (1yr)

2. Ualimu primary etc kwa upande wa kozi za ualimu
Mkuu vp na mimi ambaye sjasoma biology lakn nna Math B, Chemistry B, Geog A, Physics/Engr Sc A na English C!? Naeza soma course gan ya afya?
 
Ww kama hujasoma Biology acha kabsa kudiscuss kuhjsu ishu za Afya unapoteza mda ww weka nguvu kwenye Uhandisi etc
Sasa hujasoma biology, Afya ndo biology yenyewe
 
Mkuu je na mm kwa haya matokeo math C,bios C,geo C,chem D,phyz F,English B,kswhl C,
 
Vipi mkuu na kwa matokeo haya Physics D,Biology D,Chemistry D,English D, Kiswahili C..Maths F..clinical medicine anapata technician certificate (2yrs)au aanze basic technician certificate(1yr)?
Kwa sababu hujasoma Physics

1. Community health ndo kozi iliyobaki kwa ww upande wa Afya (1yr)

2. Ualimu primary etc kwa upande wa kozi za ualimu
 
Vipi mkuu na kwa matokeo haya Physics D,Biology D,Chemistry D,English D, Kiswahili C..Maths F..clinical medicine anapata technician certificate (2yrs)au aanze basic technician certificate(1yr)?
Hapo unapata mkuu hyo clinical medicine (2yrs), sema kuwa makini unapochagua vyuo coz una F ya Mathematics so usiwe mnaa sana ukachagua sehem zenye ushindani mkubwa....
 
Naomba kujua ni kozi gani naweza kuchaguliwa ktk kozi zilizo tangazwa na Nacte kwa vyuo vya serikali,kozi ya ualimu,na afya matokeo yangu ni civ D,blg C,kiss C Engl C,cemD jiog D math f kwa matokeo hayo kozi gani nikiomba naweza pata kwa urahisi.
Chagua ualimu,
hesabu mkuu nakuzuia kusoma afya.
 
Hapo unapata mkuu hyo clinical medicine (2yrs), sema kuwa makini unapochagua vyuo coz una F ya Mathematics so usiwe mnaa sana ukachagua sehem zenye ushindani mkubwa....
TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with five (5) passes in non-religious subjects including D passes in Chemistry, Biology, Physics/Engineering Science, Mathematics and English
Hayo maelezo yapo ktk guidebook ya sasa hicho kipengele bolded including D passes in...maths hakiwez kunikwamisha?
 
Back
Top Bottom