Ni kosa kubwa sana kwa askari kunyang'anywa silaha yake

Wanapenda sana kula viporo makambini et wanaita vijogoo au ugali pande unaliwa saa mbili asubihi
Kuna mmoja alikuwa anakula ugali Hadi 3 asubuhi tena ule Inga WA watu WA musoma halafu wanaanza patrol. Huyu akikutana na Hamza atampa bunduki Kwa hiari.
 
lengo lake lilikuwa kupata silaha,kisha akutane na wenzie nao wakiwa nazo mbili ambazo wangezichukua hapa ufaransa,kisha waelekee next stage sitaitaja.

bahati mbaya akakuta wenzie hawakufanikiwa kufanya alichokifanya.

wakati wapuuzi wanapiga makelele humu unaweza waangalia halafu ukabaki unasikitika tu.
Umejuaje?
 
Mkuu kitambi ni dalili ya uzembe. Uzembe wa kufikiri, kwanini ule chakula kupita kiasi kinachohitajika na mwili wako?
Mkuu una umri gani?
Nimeuliza hivyo kutokana na dhana zetu kufanana, lakini baadaye mwenzako nilikuja kubadilika kwa kuujua undani wa kisababishi cha unene hata kama hauupendi.
 
Mkuu nipo kwenye late twenties. Hebu nieleweshe mkuu elimu ni muhimu na haina mwisho.
 
uzembe wakati nayeye alikua na silaha!!unajua unachoandika??

vipi lindo lile lilitimiza sifa za kuitwa lindo??

huwenda wanakosea,turudi kwenye uhalali wa hamza kufanya alichofanya,maana ni ujinga kudhani labda hamza alikuwa akiwafundisha namna ya kukaa.

mimi sijasema limeanzia kwa hamza,mada hapa ni ugaidi wa hamza,labda kama unakataa ugaidi wa hamza sababu sio yeye wa kwanza kuua askari sawa,tuhamie huko.

ukiwa lindoni,bado ni binaadam kama wengine,kuna muda utapiga simu nyumbani,utakula,au kiteta jambo na mwenzako,hasa ukizingatia wengi wa polisi wanafanya kazi muda mrefu sana.

you wish,but reminding you wakiwamaliza hao utakosa kwa kuhifadhi kalio lako,huu ni mtego wa panya.ni wenye busara tu wanaweza kuona ubaya wake.bahati mbaya vilaza wanacheza matako juu wakishangilia.

aliua 4 akamalizwa.kajifunze ambush inawezakuua askari wangapi kwa wakati mmoja.au unadhani risasi ni kama goli la mapenzi??ulivute weeeee

wewe unaijua hata moja ya huko vitani,au unazionea kwenye runinga ya mabanda ya video??

aisee.

Hata mbowe wanamuita gaidi. Ficha Ujinga wako
 
Baki hivo hivo.
 
Ni uzembe kwa Sababu amewaua wote wawili waliokuwa na silaha.

Ni kwa Sababu polisi wetu hawajui kujiposition wanapokuwa kwenye lindo.

Wanalundikana kama kifurushi cha sisimizi na kila siku ndio wapo hivyo and they will never change.

Tuache upumbavu kwani tukio la polisi kuvamiwa na kupokonywa silaha limeanza kwa Hamza tu , ni mara ngapi tunaona polisi wanavamiwa kituoni na kupokonywa silaha.

Ukiwaona wenyewe wapo lundo wanaiga soga.

Wataendelea kumalizwa like always wasipojifunza na kujua maaana ya positioning.

Hamza alitakiwa Kama ni Ambush , auwe Askari 1 tu kisha awe ameshamalizwa.

Tusichanganye ambush ya kwenye vita na hii ya ma polisi wetu.

Watizameni hata barabarani wanavojiposition..,mtaelewa why huuliwa kwa pamoja.

Toka lini Sirro akawa na akili
Kila mtu aliyepata mafunzo ya kijeshi anafahamu kuwa silaha moja lazima ilindwe na siliha nyingine, silogan hii inatimia kwa kujipotion TU. Kwenye lindo mtakaa vipi ili silaha ya kwanza ilindwe na silaha ya pili. Polisi wetu walipokonywa silaha zote mbili na mtu mmoja TU tena raia.
 
Askari wetu ukiwatuma waende kusimamia usalama kwenye viwanja vya mpira wanashindwa kumuona aliyerusha chupa ya mkojo uwanjani, maana na wao wanaangalia mpira kama wengine tu.

Wale askari wa uingereza wanageukia mashabiki kuona usalama ukoje askari wetu wao wanageukia uwanjani ili wacheki mechi vizuri
 
Kuna aina 8 za kunyang'anya silaha za moto na 21za mchanganyiko sasa wewe unasema aina ipi?
Ninasema aina ile ya askari 2 wenye silaha wakapokonywa silaha na mtu mmoja tu kwa wakati mmoja bila ridhaa yao wakiwa na akili zao timamu sehemu yao ya kazi.

Nini maana ya kupiga doria?
 
umeshawahi kutana na hao wanajeshi wakilinda mipaka!!!

wanabeba silaha ngapi shingoni,kama kweli wapo???
Kule Ethiopia na Rwanda katika kila lindo kuna askari ambao lindo lao liko juu kabisa (dungu) kiasi cha kumuona kila mtu anaekuja na kutoka eneo la lindo . Hapa kwetu unaweza kumpora polisi chochote kama ukitaka.
 
Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote kinachomfanya aweze kutimiza majukumu yake ya uaskari.

Tufanye nini ili wananchi tuambiwe ni kwanini askari wetu walipokonywa silaha zao na Hamza?

Kwanini Hamza asingeachwa ili ahojiwe zaidi yeye mwenyewe?

Hakuna aliyestahili kujiuzulu kwa tukio lote lile?
Umeambiwa aliwapiga risasi akawauwa kwanza ndio akazichukua .hamza hakuenda moja kwa moja kuwanyang'anya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote kinachomfanya aweze kutimiza majukumu yake ya uaskari.

Tufanye nini ili wananchi tuambiwe ni kwanini askari wetu walipokonywa silaha zao na Hamza?

Kwanini Hamza asingeachwa ili ahojiwe zaidi yeye mwenyewe?

Hakuna aliyestahili kujiuzulu kwa tukio lote lile?
Ni kosa kubwa kwa askari kunyang'anywa silaha na mtu mwingine ambaye hana silaha. Sidhani kama ni kosa kwa askari kunyang'anywa silaha na mtu ambaye naye pia ana silaha, kwa sababu katika mazingira ya namna hiyo wawiili hawa wanakuwa katika mazingira ambayo ni ya kivita. Vita havina macho
 
Hakuna mtu ambae hana silala. kucha, meno, jiwe, wembe, kisu, panga, fimbo, jembe, upupu vyote ni silaha. Kunyang'anywa ni kunyang'anywa tu itategemea aliyenyang'anywa alikuwa na weledi wa kazi yake kiasi gani, alikuwa na utimamu wa afya na akili kiasi gani, alikuwa na silaha kubwa kuliko ya adui kiasi gani na waliomyanganya walikuwa wangapi.

Ndiyo maana kaka ukubwa wa mafunzo na silaha zinatofautiana. Mtu mmojs mwenye bunduki ya pistol, SAR au G3 kunyang'anya watu 2 wenye bunduki aina ya SMG au AK47 au LMG lazima kuna factors ambazo hazikuzingatiwa.
 
Nilimaanisha silaha nyingine ya ziada nje ya viungo kamilifu vya mwili wa mwanadamu. Silaha iliyotengenezwa kwa makusudi ya kutumika kama nyenzo
 
Ndiyo maana kaka ukubwa wa mafunzo na silaha zinatofautiana. Mtu mmojs mwenye bunduki ya pistol, SAR au G3 kunyang'anya watu 2 wenye bunduki aina ya SMG au AK47 au LMG lazima kuna factors ambazo hazikuzingatiwa.
LMG na hizo zingine ulizozitaja, huwa zinapiga target iliyo karibu na mwenye silaha? Mtu yuko karibu na wewe mnaongea wawili, LMG inakusaidiaje katika mazingira ya aina hiyo, just in case akiamua kukugeuka ghafla? Ulipita JKT wapi wewe?
 
Back
Top Bottom