Ni kosa kubwa sana kwa askari kunyang'anywa silaha yake

Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote kinachomfanya aweze kutimiza majukumu yake ya uaskari.

Tufanye nini ili wananchi tuambiwe ni kwanini askari wetu walipokonywa silaha zao na Hamza?
Kwanini Hamza asingeachwa ili ahojiwe zaidi yeye mwenyewe?

Hakuna aliyestahili kujiuzulu kwa tukio lote lile?
Kuna aina 8 za kunyang'anya silaha za moto na 21za mchanganyiko sasa wewe unasema aina ipi?
 
Hehehehe ...kwamba walishtukizwa...walitegemea adui awapigie simu...inabidi sasa hv wawe tayar muda wote...ikibidi wajifiche
 
Ni uzembe kwa Sababu amewaua wote wawili waliokuwa na silaha.
uzembe wakati nayeye alikua na silaha!!unajua unachoandika??
Ni kwa Sababu polisi wetu hawajui kujiposition wanapokuwa kwenye lindo.
vipi lindo lile lilitimiza sifa za kuitwa lindo??
Wanalundikana kama kifurushi cha sisimizi na kila siku ndio wapo hivyo and they will never change.
huwenda wanakosea,turudi kwenye uhalali wa hamza kufanya alichofanya,maana ni ujinga kudhani labda hamza alikuwa akiwafundisha namna ya kukaa.
Tuache upumbavu kwani tukio la polisi kuvamiwa na kupokonywa silaha limeanza kwa Hamza tu , ni mara ngapi tunaona polisi wanavamiwa kituoni na kupokonywa silaha.
mimi sijasema limeanzia kwa hamza,mada hapa ni ugaidi wa hamza,labda kama unakataa ugaidi wa hamza sababu sio yeye wa kwanza kuua askari sawa,tuhamie huko.
Ukiwaona wenyewe wapo lundo wanaiga soga.
ukiwa lindoni,bado ni binaadam kama wengine,kuna muda utapiga simu nyumbani,utakula,au kiteta jambo na mwenzako,hasa ukizingatia wengi wa polisi wanafanya kazi muda mrefu sana.
Wataendelea kumalizwa like always wasipojifunza na kujua maaana ya positioning.
you wish,but reminding you wakiwamaliza hao utakosa kwa kuhifadhi kalio lako,huu ni mtego wa panya.ni wenye busara tu wanaweza kuona ubaya wake.bahati mbaya vilaza wanacheza matako juu wakishangilia.
Hamza alitakiwa Kama ni Ambush , auwe Askari 1 tu kisha awe ameshamalizwa.
aliua 4 akamalizwa.kajifunze ambush inawezakuua askari wangapi kwa wakati mmoja.au unadhani risasi ni kama goli la mapenzi??ulivute weeeee
Tusichanganye ambush ya kwenye vita na hii ya ma polisi wetu.
wewe unaijua hata moja ya huko vitani,au unazionea kwenye runinga ya mabanda ya video??
Watizameni hata barabarani wanavojiposition..,mtaelewa why huuliwa kwa pamoja.

Toka lini Sirro akawa na akili
aisee.
 
Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote kinachomfanya aweze kutimiza majukumu yake ya uaskari.

Tufanye nini ili wananchi tuambiwe ni kwanini askari wetu walipokonywa silaha zao na Hamza?
Kwanini Hamza asingeachwa ili ahojiwe zaidi yeye mwenyewe?

Hakuna aliyestahili kujiuzulu kwa tukio lote lile?
Jaluo boss Lao lilitakiwa liachiwe ngazi
 
wewe unayejua ndio umeandika shahidi no 1 ni hamza na no 2 ni hao waliomuua!!!!
1.Mkuu tafuta watu wakusaidie kuelewa. Hakuna sehemu nimesema kuhusu mashahidi. Unaelewa nini kuhusu neno mtuhumiwa (suspect)?

2. Kama wewe ni polisi basi ndo ujue huna unalolijua.

3. Kama katika tukio lile hujui kama polisisiem nae ni mtuhumiwa ni bora ungemuuliza mleta mada ni kipi alimanisha katika uzi wake kuliko kuanza kumchallenge na wakati hujui hata kureason. Ulikirupuka tu.
 
1, ulimwengu wa uchunguzi uko hivi,ndio maana mnapodai kuna wizi wa dhahabu watu na fani zao wanshangaa,shahidi no 1 wote wamekufa.nyinyi taarifa mmetoa wapi??polisi ni watuhumiwa namba mbili vipi wakati,wale waliofariki wanatuhumiwa wa wizi wa dhahabu??au huamini katika dhana hii??

2,unakisia tu hata nikikwambia eleza kwanini umekiskia hivyo hujui pia.

3,sasa kama polisiccm nayeye ni mtuhumiwa,anakuwaje namba 2,wakati kuna tuhuma za wizi wa dhahabu kwa marehem 4 wa kwanza??ama umesahau tena nini unaandika!!!au umeacha kuamini tena dhana yako!!
 
Mkuu rejea comment yako ya kwanza kwa mleta uzi, unasema watu wanaufaham wa madhara ya silaha isipokuwa wenye matatizo ya akili....

Pia unasema tumeshaambiwa Hamza alikiwa ni gaidi. Na hapa ndo nataka ujue kuwa wewe hujui kitu. Huyo aliyekwambia Hamza ni gaidi yeye pia ni mtuhumiwa. Sasa kama mtuhumiwa aliwezaje kujichunguza? Ulitegemea aje akwambie Hamza alikuwa malaika kutoka mbinguni wakati pia na yeye ni mtuhumiwa.

Pia ujue kutofautisha kati ya mtuhumiwa na shahidi. Mimi naweza kukuelezea mambo mengi sana japo kwa uelewa wako mdogo unahisi siwezi. Na kweli siwezi kupoteza muda kukuelezea maana hata tofauti ya mtuhumiwa na shahidi huijui.

Pia umeleta mambo ya wizi wa dhahabu, hapa tupo kwenye uzembe wa askari, na wewe tetea hoja yako ya TUMESHAAMBIWA HAMZA NI GAIDI. Usitoke nje ya mada please maana unawez kuongeza mzigo mzito wa kuja kushindwa kutetea hayo unayotaka kuyaleta.
 
unataka kusemaje hapa labda.

ok shida yako ni ukweli wa maelezo au maelezo hayo yanatoka kwa nani!!hili naona ni tatizo lako binafsi sasa.sidhani kama linawahusu hawa watuhumiwa.

hapa unajitetea,labda baada ya kushindwa kabisa kunielewa.na kama unajua mengi ni vyema kwako,kaa nayo wala sitaki unielezee maana hauko neutral.

toka mwanzo nimekuuliza ulitaka maelezo kutoka kwa nani,ama taasisi ipi ili ukubali na uridhike kwamba ni kweli alikua gaidi??hoja ya uzembe wa askari pia nimekuelezea,ni jinsi gani hawakuwa wazembe,ila tatizo ni lile lile,mtz ni mtu mzuri sana katika porojo.

hata nikikuruhusu kwamba ni kweli walikuwa wazembe,hamza anakua mwalimu wao aliyekuwa akijaribu kuwafundisha ama!!!!!
 
Mkuu umeshinda. I guess wewe ni slow learner. Hutumii akili yako bali ya kusikia. Sihitaji kukwambia ni mamlaka ipi/nani anapaswa kumchunguza mtuhumiwa akiwa raia na akiwa polis.

kuanzia leo ujue, mtuhumiwa hapaswi kujichunguza. Pia uelewe, chombo cha usalama kinapotuhumiwa/kinapokuwa na tuhuma kinapaswa kuchunguzwa. Sasa nani anaepaswa kukichunguza, hiyo itakuwa HOMEWORK yako. Nategemea uje tena maana kureason hujui bali kuleta tu ubishani.
 
unapenda kutuhumu,unanituhumu mimi ni slow learner.unaituhumu polisi,hata hiyo taasisi unayowezapewa ichunguze itaituhumu,sababu ni moja tu,una majibu yako kichwani tayari.

embu nieleze,kwa scene ya tukio zima,polisi inatuhumiwa kwa jambo gani???mpaka unahisi ilipoteza mamlaka ya kuchunguza tukio lile??
 
mwisho utasema wasife maana wamekaa depo miezi 6,ujinga ukikomaa inakuwa sifa ya kimaumbile,au upumbavu.
Jeshi la miezi 6 ni jeshi au unyoronyoro TU? Baada ya watoto wa wakubwa kutafutiwa ajira huko wakaamua iwe miezi 6 TU.

Mipaka ya Nchi inalindwa na JWTZ, kama kweli ni gaidi anaetafuta silaha kwanini hakwenda kwa wanajeshi kwenye makundi Yao akaamua kwenda polisi?
 
unapenda kutuhumu,unanituhumu mimi ni slow learner.unaituhumu polisi,hata hiyo taasisi unayowezapewa ichunguze itaituhumu,sababu ni moja tu,una majibu yako kichwani tayari.

embu nieleze,kwa scene ya tukio zima,polisi inatuhumiwa kwa jambo gani???mpaka unahisi ilipoteza mamlaka ya kuchunguza tukio lile??
Kumbe ulikuwa hujui? Sasa hiyo itakuwa homework ya pili kujua kwanini polisi inatuhumiwa na haikupaswa kuchunguza hilo tukio. PERIOD
 
hata kutaja tuhuma zinazowakabiri imekuwa homework yangu tena,wakati mwenye madai ni wewe!!!!
 
Jeshi la miezi 6 ni jeshi au unyoronyoro TU? Baada ya watoto wa wakubwa kutafutiwa ajira huko wakaamua iwe miezi 6 TU.

Mipaka ya Nchi inalindwa na JWTZ, kama kweli ni gaidi anaetafuta silaha kwanini hakwenda kwa wanajeshi kwenye makundi Yao akaamua kwenda polisi?
umeshawahi kutana na hao wanajeshi wakilinda mipaka!!!

wanabeba silaha ngapi shingoni,kama kweli wapo???
 
Back
Top Bottom