kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,307
- 12,602
- Thread starter
- #121
Mbona umekimbilia LMG na kuziacha SMG na AK47 kwenye swali lako? Nilitaka kukuonyesha kuwa unaweza kutumia hata LGM kama adui angeonekana kutoka mbali. Lakini inaonekana kuwa adui alilisogelea lindo bila kuonekana hadi akaifikia target yake kwa kisilaha cha kipuuzi kama pistol. Malindo yetu yote lazima yawe na kitu kwenye afya wanaita "care of the carer". Yaani askari lazima awe hai kabla ya kulinda uhai wa wengine. Askari mwenye silaha lazima alindwe na askari mwingine mwenye silaha, shida ya baadhi ya askari polisi wetu wote wanamkimbiza mwizi na kusahau adui zake na adui zake na wale wa silaha yakeLMG na hizo zingine ulizozitaja, huwa zinapiga target iliyo karibu na mwenye silaha? Mtu yuko karibu na wewe mnaongea wawili, LMG inakusaidiaje katika mazingira ya aina hiyo, just in case akiamua kukugeuka ghafla? Ulipita JKT wapi wewe?