Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

kosa nalojutia ni kukutana na mpenza wangu wa kwanza toka nipo sec, kilichotutenganisha niliama shule, sasa tumekutana tena sasa ninampenda kupitiliza ila sitakubali anivue chupi, sababu nimeshaolewa na nina watoto wawili nae kashaoa, ila wote tunapenda na nimemkisi mala kibao sababu lips zake nitamu kwa kukisi....
...kosa unalopaswa kujutia sana ni kuendelea 'kumpenda sana' baada ya kuwa mmepoteana kwa muda mrefu hadi wewe kuolewa na yeye kuoa.....
Hayo mambo ya..kisi..kisi..
kisi, mwishowe...Olalaaa !!!
 
Najuta nilivyo mvumilia mwanaume miaka 20 bila matunzo na kujimudu mwenyewe kimaisha na kulea watoto mwenyewe yeye analeta pumbu tu na kipigo juu na alikuwa mdokozi wa vijisenti vyangu vya biashara nikamvumilia tu sababu akutetelesha msingi wangu lakini kilicho nifanya nilivue pendo na mwishoo wangu kwake na kilio kikubwa zaidi ya majuto alicho nifanyia kuniibia pesa zangu zote za mtaji mpaka sasa natangatanga nadaiwa pesa za mashure (private) mpaka wamenichoka kulialia wakati enzi zangu ilikuwa pesa ya madafu kulipia watoto 4 najuta kumvumlia mwanaume malio na kupoteza muda wangu na umri wangu wa ujana nikitegemea ataacha yanii daaa! Simsame mpaka uchumi wangu urudi tena ata Nikifa asije kwenye mazishi yangu ata jeneza asiguse atakuwa ananijoki tu nae anajua haya!
I feel you. pole sana mpendwa. Tatizo la kupenda sana halafu ukapenda paipopendeka..
 
Duh! Sasa unafanyaje mkuu? We Bikira? Upo CHAPUTA? Au we ni mtu wa mitaa yetu ilee, unatoa tu buku 5 zako, mnayamaliza, bila hata kufungua mdomo!!!
Fafanua hapo mkuu mwenzetu.

Najuta mpaka leo sijui kutongoza msichana/mke,kwani toka mdogo sikuwahi kutongoza.Sema utaratibu na upole wangu najikuta hata kutongoza siweziiiiii.Ukweli najutaaaa mpaka umri huu siwezi kutongoza.
 
Lady japokuwa hujafunguka ila nimekuelewa sana tu. Hii sehemu mabinti wengi sana tunaangukia pia. Yani sisi as long as tumependana na tumeulizwa "will you marry me", aah basi tunajua kazi imeisha . Hujui familia/ukoo wao ukoje, kuna vitu gani vya asili (mila na desturi), maagano, wanaishije (kuna upendo au utengano)n.k. Kuna familia mama ndo final say, baba katulia tu, watoto wote wanajitegemea huko ila mama ndo remote yao, kaolewe sasa utake kumcontrol mumeo ndo mpambane na mama mkwe vizuri.

Wengi tunakutana kimjini mjini, tunaamini tutaishi hivyo hivyo kimjini mjini, ila ukija kukutana na familia yake ndo unachoka mwili na roho. Na wengine huwa tunajiaminisha tunaolewa na mume, kumbe unaolewa na familia nzima mwee
Unamaanisha nini kumcontrol mumeo?
 
Duh! Sasa unafanyaje mkuu? We Bikira? Upo CHAPUTA? Au we ni mtu wa mitaa yetu ilee, unatoa tu buku 5 zako, mnayamaliza, bila hata kufungua mdomo!!!
Fafanua hapo mkuu mwenzetu.
Acha tuu,Mitaa yetu ile unafanya mambo yanaisha.Cha muhimu na msingi "zaaana" tuu
 
Nakubaliana na wewe 100% , shule kibongo bongo inazingua, unapoteza miaka mingi kusoma halafu ukipata hiyo kazi mshahara laki 6 .Kama mtu unawekeza muda wako kwenye business unatoboa vizuri tu
Hahaha, well nina Degree na MSc. (Zote za Accounting & Finance Field) nilivyorudi from mbele nikaregister na board ya wahasibu nipige ma paper yao niwe Certified.

Yani ile tu nimelipia kila kitu....Jamaa zangu niliokuwa nao ughaibuni kishule wakaniambia kwann tusifanye biashara flan huku Kariakoo (Support Tulipata). Hela niliokua napiga kule sumtyms na watu ambao hawana hata diploma, sikuhudhuria tena hata kipindi kimoja cha hyo course.

Nikafutilia mbali....Sumtyms watu wanachelewa maisha sababu ya shule ( Simaanishi shule ni mbaya, ila at tyms soma kiasi tu, ukipata capital na channel go for it.)

Ni kweli na haya ndio mambo wazazi au waalimu wanatakiwa kutushauri/kutusimamia.

Inabidi Mungu asaidie tuwe wazazi wazuri.
 
Najuta kufaulu form nectar exam 2010 washkaj zangu waliopata division 4 na 3 za mwisho walienda katika kozi za afya na ualimu walisha ajiriwa kitambo na wanaishi vzur mixer mijengo na usafiri .Mimi niliekomaa hadi bachelor degree 2016 nimemaliza nipo tu hata kuitwa interviews siitwi nikichek profile inasoma 92℅ nipo tu mtaan nazurura hata vocha tabu nilijaribu kuomba hata ulinzi kwa vile Nina ganda la j.k t kwa mujibu wa sheria ila Chenga nilijaribu kuomba hata kaz katika mastationary kwa vile Nina ganda la computer ila chenga..Najuta ndugu zangu yaan mwanang nitakuja kumsisitiza asome ajue tu kusoma na kuandika huko kwingine ktk vidato iwe ni umbea wake mwenyewe ..Najuta mm sina cha kujivunia na elimu yangu na ukichek mkopo nilikosa kisa nilisahau kutia sain mwisho wa fomu kipind tunaitwa nilikuwa kambin JKT muda ukapita kuja kuappeal nikaliwa hela za kutuma ems nilikomaa na pas ndefu chuo nikajua nikimaliza mambo yatakuwa dangachee kumbe ndio majuto ni mjukuu
Bsc ya nini mkuu?
 
Back
Top Bottom