Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Najuta kufaulu form nectar exam 2010 washkaj zangu waliopata division 4 na 3 za mwisho walienda katika kozi za afya na ualimu walisha ajiriwa kitambo na wanaishi vzur mixer mijengo na usafiri .Mimi niliekomaa hadi bachelor degree 2016 nimemaliza nipo tu hata kuitwa interviews siitwi nikichek profile inasoma 92β„… nipo tu mtaan nazurura hata vocha tabu nilijaribu kuomba hata ulinzi kwa vile Nina ganda la j.k t kwa mujibu wa sheria ila Chenga nilijaribu kuomba hata kaz katika mastationary kwa vile Nina ganda la computer ila chenga..Najuta ndugu zangu yaan mwanang nitakuja kumsisitiza asome ajue tu kusoma na kuandika huko kwingine ktk vidato iwe ni umbea wake mwenyewe ..Najuta mm sina cha kujivunia na elimu yangu na ukichek mkopo nilikosa kisa nilisahau kutia sain mwisho wa fomu kipind tunaitwa nilikuwa kambin JKT muda ukapita kuja kuappeal nikaliwa hela za kutuma ems nilikomaa na pas ndefu chuo nikajua nikimaliza mambo yatakuwa dangachee kumbe ndio majuto ni mjukuu
Naomba tuungane kwenye majuto hayasema Mimi nisikufuru nilipata shavu kwa wachina ingawa salary mbovu but something is better than nothing.
 
Same here

Mapenzi yameniathiri saanaa saaanaa, bahati mbaya ndiyo my first girl, sikuwahi kabisa kuwa na mahusiano na mwanamke yyte chini ya jua yaliyo siriazi mpaka nilipoamua niwe kwenye mahusiano yatakayo zaa ndoa

Sijui kama nitakuja kupenda mwanamke kwa moyo wangu woote tena...
Pole aisee..
 
Uongo unakusaidia nini sasa? Mara umesoma computer science mara mining....which is which??? A liar should have a good memory!
sor..
comments haikuwa na ujazo, nilisoma nusu...
baadae nikaachana nayo, nikaingia Comp Sc..
 
Nikiwa form 6 shule flani Moshi nlisoma na dada wa rafiki yangu nlosoma nae olevel, dada wa huyo rafiki yangu alkuwa mlokole sana hivo ikapelekea huyo mshkaji wangu kutaka nmjaribu huyo dada yake hivo nmtongoze.Yule dada na ulokole wake akakubali na alikuja kudata kabisa na Mimi akaanza kutega hadi shule ili mradi apate mda wa kuja kuniona tukakae mahali sisi wawili tu.Ikaenda mpaka akaja kujua kuwa kaka yake ndo amenambia nimjaribu ila bado yule dada hakubadili msimamo yeye bado ananitaka tu.Na mim kipindi hcho tayari Npo katika mahusiano na msichana mwengine toka nkiwa form two.Ikabidi Kaka yake amwambie kuwa mim Nina mwanamke mwengine toka form two Ila bado yule dada alkuwa ananiganda"alkuwa na moyo w ajabu sana Yule dada yani maovu yangu alivokuwa akiambiwa ndo alizidi kuchanganyikiwa na kunipenda zaidi.kuna mda nkahisi labda alipewa maono na mungu kuwa mim ndo ningemfaa.Ikafika karibia na mtihani wa form 6 nkamwambia akae mbali na mim kila mtu apate muda wa kujiandaa na mtihani ila akaona kama namkimbia ila alikubali'tukafanya mtihani Ila hakufaulu vizuri Maana alkuwa PCB me nkiwa EGM na pia nilihisi kuchangia Kufeli kwake.
Muda ukafika wa kwenda chuo yeye akaenda diploma ya laboratory science UDOM na me nkaenda degree yangu, shida ikawa kuna nwanafunzi mwenzake anafanana na mim bhas ndo kila Siku akawa anankumbuka na kila mda ananitafuta.Hata ikabid kumtukana na kumtafutia sababu mpaka kifikia kutoka na ndugu yake mwengine Ila bado yeye aliniganda.Ikabid nije kumwomba sana na sana asipoteze muda kwangu ikaenda taratibu mpaka akanielewa Ila haachi kuuliza naendeleaje pia mahusiano yangu na Yule msichana nlotoka nae toka form two yapoje huku akiamini ipo siku ntakuwa single kwa ajili Yale.

Mungu anisamehe sana ila pia amenifundsha kuwa kuna wanawake wakipenda wamependa na nashukuru sikumvua chupi maana Leo nngejilaumu zaidi.
Mtoto wa kike akitulia taabu, akiwa mapepe taabu. Sijui walimwengu tunataka nini?
 
Samahan Sam...niwe mkweli nimecheka balaa..nakuhisgi ww mtata.mtukutu kumbe kwel bwana..yaan naandika hapa nacheka balaa..hahahaa...nna 2nd born anataka kuwa km wwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..dah
Bila hata samahani yani! Uko sahihi ila saivi nimekua bwana:(...najitahidi sana kufuta fikra kama zako kwa ndugu zangu maana Ndugu zangu 90% hadi leo wakiskia SAM kafanya 1 2 3..utawaskia (tushamzoea) so masiha yangu ya sasa Hivi,unaeza hisi Ni made from heaven...

Watoto wa Wachungaji sijui shetani anatutakiaga nini sisi:(
 
Samahan Sam...niwe mkweli nimecheka balaa..nakuhisgi ww mtata.mtukutu kumbe kwel bwana..yaan naandika hapa nacheka balaa..hahahaa...nna 2nd born anataka kuwa km wwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..dah
Ili umuokoe huyo pacha angu..nakusihi Usimpige anapokosea wala usimpeleke kwa ndugu au hata mtu akwambie mlete huku nikae nae Ukakubali(ndio utazidi mpoteza)..type yetu nimegundua ili tunyooke Tunahitaji adhabu za kawaida na counselling kwa sana sana sana maana after utundu wetu tukikaaga ndani huwa tunawazaga Maujinga tulokua tukiyafanya..ktk yale mawazo inatakiwa tuwe tushapewa maneno sana so wakat tukiyatafakari maujinga yetu tukiunga na yale maneno ya kugombezwa Akili inaturudiaga.

Ukijifanya utunishe misuli na sisi kisa wewe n mzazi na sisi huwa tunatakaga kuwa prove kuwa nyie hamtuwezi so badala ya kunibadilisha utakuta tunashindana halafu end of the day Lazima Tutakushinda ambapo ndio KUHARIBIKIWA KWETU na aibu kwako mzazi kwa kutoa mtoto Aliyeharibikiwa.

ukiweza hata kiboko usimpge uzuri ni kwamba ushajua this is SAM's type..deal nae kwa KUTUMIA uBONGO tu na si Ubabe wa wewe ni mzazi.
 
Wewe hufai, kama ulichunwa na wewe ndio uchune?

Bila hata samahani yani! Uko sahihi ila saivi nimekua bwana:(...najitahidi sana kufuta fikra kama zako kwa ndugu zangu maana Ndugu zangu 90% hadi leo wakiskia SAM kafanya 1 2 3..utawaskia (tushamzoea) so masiha yangu ya sasa Hivi,unaeza hisi Ni made from heaven...

Watoto wa Wachungaji sijui shetani anatutakiaga nini sisi:(
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ🎢🎢🎢 Hii sentensi ya mwisho imenigusa...hahahahaa...ukiona tu wazaz ni watu wenye dini bas tegemea watoto watakuwa shida...hii nimeiona sana..hahha..noma sana..!Hongera kuamua kubadilika best...!

Kuna mtoto m1 mamake mchungaji hujo KKKT..huyu dogo ni wa kike..jaman mtoto anavuta bangi huyooo..ndo anamaliza chuo mwaka huu. sijajua ni majaribu au nn..

Omba sana pia...
 
sema shetani hanipati tena...Mi naenda zangu Mbinguni saivi alikoseaga mahali... so kunipata this time around labda aamue kuja upande wangu alafu turudi wote ila sio anidanganye tena akiwa huko alipo.
 
Ili umuokoe huyo pacha angu..nakusihi Usimpige anapokosea wala usimpeleke kwa ndugu au hata mtu akwambie mlete huku nikae nae Ukakubali(ndio utazidi mpoteza)..type yetu nimegundua ili tunyooke Tunahitaji adhabu za kawaida na counselling kwa sana sana sana maana after utundu wetu tukikaaga ndani huwa tunawazaga Maujinga tulokua tukiyafanya..ktk yale mawazo inatakiwa tuwe tushapewa maneno sana so wakat tukiyatafakari maujinga yetu tukiunga na yale maneno ya kugombezwa Akili inaturudiaga.

Ukijifanya utunishe misuli na sisi kisa wewe n mzazi na sisi huwa tunatakaga kuwa prove kuwa nyie hamtuwezi so badala ya kunibadilisha utakuta tunashindana halafu end of the day Lazima Tutakushinda ambapo ndio KUHARIBIKIWA KWETU na aibu kwako mzazi kwa kutoa mtoto Aliyeharibikiwa.

ukiweza hata kiboko usimpge uzuri ni kwamba ushajua this is SAM's type..deal nae kwa KUTUMIA uBONGO tu na si Ubabe wa wewe ni mzazi.

Hahahahaa...nacheka km mazuri..huyu dogo ht ukimuona tu unajua huyu mtundu sana..yaan kakorofiii...kamewah kutufungia nje..kakaja fungΓΉa saa8 usk yaan ilikua ukimgombeza tu anakimbilia chumban anajifungia mazima..utaita wee..wapii.kakaa kimya..jaman...nakwazika..ila maajabu shuleni ticha ake ananiambia Luiz is very smart..had nikamwambia kwan kuna kina Luiz wawili hili darasa...dah..ni mtata sijapata ona..lakini naambiwa na mm nilikua hv...baba yetu alikua hvi..mtata,mbabe,dah ..siku hiz simpigi..nampa postive discpline..ila hazisaidii..ukimuacha kwenda mjin hajishughulishi..anafungulia kuku makusudically wanakula maua yangu..chaa!
 
sema shetani hanipati tena...Mi naenda zangu Mbinguni saivi alikoseaga mahali... so kunipata this time around labda aamue kuja upande wangu alafu turudi wote ila sio anidanganye tena akiwa huko alipo.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mpitiane wote..dah..unanikumbusha nilipokua jank jaman..dah...!
 
hili ndilo kosa baadhi ya wana jf wanalijutia hadi leo
1099088
 
Hahahahaa...nacheka km mazuri..huyu dofo ht ukimuona tu unajua huyu mtundu sana..yaan kakorofiii...kamewah kutufungia nje..kakaja fungΓΉa saa8 usk yaan ilikua ukimgombeza tu anakimbilia chumban anajifungia mazima..utaita wee..wapii.kakaa kimya..jaman...nakwazika..ila maajabu shuleni ticha ake ananiambia Luiz is very smart..had nikamwambia kwan kuna kina Luiz wawili hili darasa...dah..ni mtata sijapata ona..lakini naambiwa na mm nilikua hv...baba yetu alikua hvi..mtata,mbabe,dah ..siku hiz simpigi..nampa postive discpline..ila hazisaidii..ukimuacha kwenda mjin hajishughulishi..anafungulia kuku makusudically wanakula maua yangu..chaa!
ha ha ha utakoma sema anaonyesha ni wa mpito huyo.hatodumu kwenye hiyo sekta ya utundu/utukutu/ukorofi Nenda nae sawa taratbu kadri umri unavyosogea atazidi ku mature na utamuona anakua kama wewe sasa hivi (mtundu/mkorofi wa kisir siri) πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
kwan asojua wewe cha utundu hadi leo nani? (ebu nsje mwaga mchele kwenye kuku wengi saizi)

Unanikosea sana best..hahaha mm nilikua mkorofi sana hom..ila shule i was cool..nilikorofishwa zaidi twin wangu alivyofariki nilkua nawaza kuua familia nzima..nashukuru Mungu ile hali iliendelea kuisha taratibu...nilipanga kuua wote...niliumia sana..niliona hakuna anayeumia km mm..dah
 
pole dear,nakutania tu in life nothing is permanent hata upitie gumu,zuri,tamu,chungu Litapita Na kuja lingine..ni mwendo wa mbio za vijiti.

Hopefully! una Amani na Ulishaachilia YOTE.
 
Back
Top Bottom