Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Hahahaaaa duh kumbe hisia zangu za kweli. Nilijua ni iringa maana huko kwa mabumunda ni balaa. Mie pia niliishi iringa kanisa langu lilikuwa rc mshindo. Ni kuna mabumunda hatari bila kusahau gubiti za kutosha
Iringa hiyo hiyo, miaka nasoma mbeya , tunasafiri wanafunzi wengi , na basi inalala iringa, akapanda kibibi ilula (kumbe shangazi yangu) na ana kilema, mimi simjui, kejeli za wanafunzi ,yaani ni balaa, basi limefika iringa nimechukuliwa na baba mdogo nikalale nyumbani , nirudi kuendelea na safari kesho nashangaa , nakuta kile kibibi kinanipakulia wali baridi ya iringa nililala na nguo na balnketi mbili huku nalia mwenyewe, kwani nilikuwa kinara wa matusi. Masikini kafa miaka ya karibuni nilienda kumzika na kutubu kaburini nikiwa mzee
 
Najuta kufaulu form nectar exam 2010 washkaj zangu waliopata division 4 na 3 za mwisho walienda katika kozi za afya na ualimu walisha ajiriwa kitambo na wanaishi vzur mixer mijengo na usafiri .Mimi niliekomaa hadi bachelor degree 2016 nimemaliza nipo tu hata kuitwa interviews siitwi nikichek profile inasoma 92℅ nipo tu mtaan nazurura hata vocha tabu nilijaribu kuomba hata ulinzi kwa vile Nina ganda la j.k t kwa mujibu wa sheria ila Chenga nilijaribu kuomba hata kaz katika mastationary kwa vile Nina ganda la computer ila chenga..Najuta ndugu zangu yaan mwanang nitakuja kumsisitiza asome ajue tu kusoma na kuandika huko kwingine ktk vidato iwe ni umbea wake mwenyewe ..Najuta mm sina cha kujivunia na elimu yangu na ukichek mkopo nilikosa kisa nilisahau kutia sain mwisho wa fomu kipind tunaitwa nilikuwa kambin JKT muda ukapita kuja kuappeal nikaliwa hela za kutuma ems nilikomaa na pas ndefu chuo nikajua nikimaliza mambo yatakuwa dangachee kumbe ndio majuto ni mjukuu
 
Du pole sana ila usijali mkuu, ipo siku mambo yatatiki na unaweza kujikuta unawapita hao jamaa zako kwa mbali sana. Endelea kumtegemea Mungu ipo siku atakutendea muujiza. Kuna baadhi ya kozi kupata ajira ni mtihani. Ulisoma kozi gani?
 
Iringa hiyo hiyo, miaka nasoma mbeya , tunasafiri wanafunzi wengi , na basi inalala iringa, akapanda kibibi ilula (kumbe shangazi yangu) na ana kilema, mimi simjui, kejeli za wanafunzi ,yaani ni balaa, basi limefika iringa nimechukuliwa na baba mdogo nikalale nyumbani , nirudi kuendelea na safari kesho nashangaa , nakuta kile kibibi kinanipakulia wali baridi ya iringa nililala na nguo na balnketi mbili huku nalia mwenyewe, kwani nilikuwa kinara wa matusi. Masikini kafa miaka ya karibuni nilienda kumzika na kutubu kaburini nikiwa mzee
A very sad experience. Hope Mungu alipokea toba yako. Amina.
 
.....mm najuta kwa haya.....
1.kuwa in relationship with 1 girl nakuanza kuwa ignore girls wengine , niliyejua tutafika mbali ..kumbe yeye anayake kichwani..yaan mm nilikuwa kila kitu kwake mpaka masomo nikawa namsaidia...ila siku alokuja nitamkia niliona kama dunia inapasuka...ila na shukuru maana niliona bora nivumilie tuu..na wala cyo kuanza kujifikilia kujiua

2..kutokana na mawazo ya kuachwa niliona bora niwe napiga puchu ili nijifajiri mm kama mm tuu maana nilikuwa kweny kipind kigumu sana katika maisha yangu

Pia yote haya yameni athiri kisaikolojia mpaka sasa.

Same here

Mapenzi yameniathiri saanaa saaanaa, bahati mbaya ndiyo my first girl, sikuwahi kabisa kuwa na mahusiano na mwanamke yyte chini ya jua yaliyo siriazi mpaka nilipoamua niwe kwenye mahusiano yatakayo zaa ndoa

Sijui kama nitakuja kupenda mwanamke kwa moyo wangu woote tena...
 
Du pole sana ila usijali mkuu, ipo siku mambo yatatiki na unaweza kujikuta unawapita hao jamaa zako kwa mbali sana. Endelea kumtegemea Mungu ipo siku atakutendea muujiza. Kuna baadhi ya kozi kupata ajira ni mtihani. Ulisoma kozi gani?
Asante mkuu . Amen ..kozi inahusu mambo ya maendeleo ya jamii
 
Same here

Mapenzi yameniathiri saanaa saaanaa, bahati mbaya ndiyo my first girl, sikuwahi kabisa kuwa na mahusiano na mwanamke yyte chini ya jua yaliyo siriazi mpaka nilipoamua niwe kwenye mahusiano yatakayo zaa ndoa

Sijui kama nitakuja kupenda mwanamke kwa moyo wangu woote tena...
Kumbe Tupo wengi
 
.....mm najuta kwa haya.....
1.kuwa in relationship with 1 girl nakuanza kuwa ignore girls wengine , niliyejua tutafika mbali ..kumbe yeye anayake kichwani..yaan mm nilikuwa kila kitu kwake mpaka masomo nikawa namsaidia...ila siku alokuja nitamkia niliona kama dunia inapasuka...ila na shukuru maana niliona bora nivumilie tuu..na wala cyo kuanza kujifikilia kujiua

2..kutokana na mawazo ya kuachwa niliona bora niwe napiga puchu ili nijifajiri mm kama mm tuu maana nilikuwa kweny kipind kigumu sana katika maisha yangu

Pia yote haya yameni athiri kisaikolojia mpaka sasa.
Pole sana,
ila ni bora yako wewe.
Mimi ni story yako +.
 
Kutokujua mapema kuwa mapenzi ni uchizi. Ningalijua nisingalitumia muda mwingi kumpenda MTU ambaye haoni thamani ya upendo.
 
Mm nlitumia ujana vibaya sana nahs....hapa nilipo nina watoto wa 3 wa kiume ila wote mama tofaut na wote nimekutana nao wana zaidi ya mwaka mmoja!!!kwa sasa ndo naelekea kutimiza miaka 25!!!!mzee hajui kama kuna ,watoto maana kuna mwanamke nlizaaga nae mtoto akafaliki na ndo mzee anakomalia nimuoe na anampenda sana!!!mlimaliza bachelor in banking and finance pale ifm mwaka jana ndo kwanza nina mwana mmoja nkasema nisimamie biznes za mzee ila kwa ss npo course jeshini maana bznes zilianguka zote kwa msongo wa mawazo...dah
Dah!! Life is histry and everyone on earth has got his/her own specific book.
 
Nilimpenda sana Mdada mmoja kuliko maelezo nikiwa darasa la 5 yeye akiwa la 4 . Nilijitahidi kumtimizia kila alilohitaji na kuamini kuwa ndo atakuwa wa maisha.
Kadri siku zilivokuwa zikizidi ndo nilizidi kujichimbia shimo ambalo kutoka ilikuwa ngumu.
Hakuwahi kunambia hanitaki ila vitendo vilionesha ni mapenzi ya upande mmoja.
Nikawa nikijipa moyo huenda ni utoto atabadilika kumbe nazidi kujizamisha katika TOPE la mapenzi.
Nilidumu katika mapenzi kuanzia 2004-up to 2017 jambo ambalo limenifanya kutokuja kumpenda mwanamke yeyote (though pretending). Huo muda ulizidi kutengeneza mazingira yote that she was special.
Mwanzoni niliamini MPENDE MPENDAE. Baada ya kuona nasubiria meli airport. Ilibidi nioe kwa kufuata MPENDE AKUPENDAE.
Ningalikuwa na maamuzi sahihi mapema nisingalikuwa naumia mpaka muda huu kisa MAPENZI.
Weka story kidogo japo
 
Aisee pole sana,haukuwahi hata kumuonja?wanawake viumbe vya ajabu kwelikweli
 
Back
Top Bottom