Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Yule mwanamke bado nakaamua mpk leo ,maana mahakama ilidhibitisha yupo huru na sio mke wa mtu tena km alivyokuwa akidai mume wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Du huyo mwanaume fala kabisa....yaani kumkamata mtu ugoni breki ya kwanza mahakamani??? Sasa mwanamke alisimama upande wako au wa huyo bwege?? Basi baada ya mahakama kumuumbua jamaa wewe ungeendelea kut0mbA tu mkuu. Ningekuwa mimi ningeendelea.
 
Aisee nilikuwa midfielder mzuri sana. 90's huko. Nilipendwa sana na wazee wa timu yetu ikiwa 3rd division pale Iringa town. Kuna wakati nilichaguliwa timu ya mkoa lkn wazee wa timu yangu walimpeleka mtu mwingine wakinificha mie. Nilikuja kujua baada ya timu ya mkoa kuondoka kwenda Dar kwenye mashindano Wale wazee wakawa wanateta sasa tutapumua dogo kasalimika otherwise Lipuli wangemchukua. Dah iliniuma sana lkn nilikuwa bado nipo form2 na mzee wangu ndo alikuwa hataki kabsaa nipige boli.
 
Najua kila mtu kuna kitu alisha wahi fanya lakini hilo kosa unakuja kugundua badaye.... tukianza na mimi moja ya makosa makubwa kuwahi kufanya ni kuvaa hii vazi ..... Shea nasi wakulugwa ulishawahi fanya kosa gani?
Screenshot_20220410-160022_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom