Ni kodi zipi zinapaswa kulipwa na Limited Liability Companies? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kodi zipi zinapaswa kulipwa na Limited Liability Companies?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MwanaHaki, May 29, 2010.

 1. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #1
  May 29, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Waungwana,

  Jambo ambalo linasikitisha, kwa nchi ambayo inadai inakusanya kodi, ni kwamba elimu kwa walipakodi ni finyu kiasi kwamba, pale unapotaka kuanzisha biashara mpya, hupati habari za kweli na za uhakika kuhusu kodi ambazo - kama mfanyabiashara - unapaswa kuzilipa.

  Tafadhalini, waungwana, naomba mnieleweshe, kwa kampuni ambayo ni Limited Liability (LTD), ni kodi zipi inapaswa kulipwa, kwa viwango gani, na kwa wakati gani?

  Asanteni.

  ./Mwana wa Haki

  P.S. Mwenye taarifa tafadhali anitumie PM
   
Loading...