Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,840
Siasa zikiingia kwenye maisha ya watu ni jambo hatari sana.
Mnakumbuka Mwijage aliambiwa afute umiliki wa viwanda vyote ambavyo hajaendelezwa?
Mnakambuka mbwembwe za agizo hilo.Ebu niambie popote ulipo nchi hii ni kiwanda gani serekali imekichukua na kiligeuzwa godauni?Lile tamko utekelezaji wake umeishia wapi?
Leo wanacheza na mashamba ya Mo,Kelele nyiiingi huku wakijua ni mali ya Mo na hawayachukui.Wanatamka tu ili kufurahisha mapimbi wasiojielewa.
Chukua taadhari kijana,Usikubali akili zako ziwekwe mfukoni na Ccm wa genge lao la vibaka.