Ni kitu/kifaa gani kitanisaidia kuepuka madhara ya Moto katika Kifua changu..?

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,549
3,534
Habari za mchana wana JF wenzangu, poleni na Majukumu ya kila leo.

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.

Mimi ni mjasilia mali, ambaye ili kuyatimiza majukumu yangu (Kuchoma Chapati, pamoja na Biashara ya Chipsi) najikuta napata maumivu mara kwa mara katika Kifua changu, kwa sababu ya kucheza/kushinda katika Jiko/Moto kwa muda mtefu...!

Naomba kujua, ni mbinu gani nitumie au kifaa gani ili niweze kuepuka (kama sio kuiondoa kabisa) mazingira haya, ambayo kwangu naona ni janga kubwa kwa Afya yangu baadae..

Nategemea ushauri kutoka kwenu wana JF hasa wajasilia mali wenzangu..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom