makaj
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 318
- 373
Hapa naamnisha, tukiwa wadogo kuna maisha fulan tulikuwa tunayapitia Na kufanya matukio mbali mbali bila kujitambua vizuri. Sasa inapofikia umri wa ukubwan mnajikuta mmekaa Na watu tajwa kweny "heading" basi unaweza pewa story zako za udogon ukajikuta unacheka .
Sasa juzi hapo nikapewa story yangu nikiwa mdogo, kwamba ilikuwa ugomv mzito mimi kunivalisha nguo mpyaa. Yani nakula nduki, au wakifanikiwa kunivalisha basi kilio chake hakiishi Leo....... aisee nilicheka Sana, sasa nasikia kuna Mzee alitokea siku ugomv ukiwa unendelea wa kunivesha nguo, eti alisema " akikua atakuwa anapenda Sana kuvaa" kitu ambacho kimedhihirika ukubwan, mpaka mtoa story akakumbuka.
Siku hiyo hiyo ikatolewa story ya jamaa mwingine,jamaa ulikuww ukisimulia kwamba usiku umeota ndoto. Basi jamaa akisikiliza halafu hujamjumuisha kweny hiyo ndoto basi ni kilio kikubwa kwenda kukusemea. Alaf kweny hiyo ndoto jamaa anataka useme yy alikuwa dereva kweny gari kubwa, anaendesha alaf nyie mmekaa nyuma. Nayo ilinichekesha Sana,
Nikagundua kumbe udogon kuna tuvituko fulan amazing, tulikuwa tunafanya. Sasa wew Kama member wa jf Na ijumaa hii bomba karibu tushare vimomenti vyetu vya BC
Sent using Jamii Forums mobile app