Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

Nikimkumbuka naishia kucheka

Sasa alikua anakaa floor ya juu huko, siku anajua kuna jirani kamkera ni ataenda kumnywea then anarudi usiku kukiwa kumetulia ni ataanza kutukana kwanzia chini mpaka afike kwake kwa mwendo wa kilevi muhusika kashashiba maneno yote
 
Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).

Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe. Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.

Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.

Wanaume huwaza, iwapo mwanamke huyu anaweza kuijenga familia bora, anaweza kuwahudumia watoto? Hatanipa stress huko mbeleni, hatanisumbua katika masuala ya tendo la ndoa?

Wanaume wanaotaka kuoa huwa hawapendi wanawake wanaowapa mawazo, ndio maana wengine hukaa muda mrefu kwenye mahusiano lakini unajifikiria bila sababu ya msingi anakuja kuoa mtu amekaa nae kwa miezi miwili.

Ni ile utafutaji wa AMANI YA NAFSI.

Sex is a pleasure, love is an affection, RESPECT is Stability.

Sisi tulio waseja tunacoment wapi?
 
A6AFEC8E-B7E8-4E55-813D-1465B1AB21A3.jpeg


Yuko sahihi maana Kama akili huna hutamuweza mke
 
Hebu muache Hazard CFC wangu ana akili za kutosha

Halafu unajua kichwa kinachoweza kuhimili bia zaidi ya nane na kikakumbuka njia ya home ni kipimo tosha cha akili
Kwahiyo mimi ninaekunywa juisi na bado masahau remote ya tv nilipoiweka ni kilaza wa mwendokasi
 
Back
Top Bottom