NI KITU GANI UNGEPENDA KITOKEE JF KWA SASA AU BAADAE

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,418
7,740
Salaam kwenu wana jf,
Nawaza tuu ikitokea mmiliki/wamiliki wa jf akaamua kuifunga hii blog afu akaitisha mkutano mkubwa wa wana jf wote tukajitambulishe, mfano tunaingia uwanja wa taifa panawekwa jukwaa anapanda kila mmoja kujitambulisha na ID yake aliyokua anatumia humu jf,
Naamini kuna baadhi yetu humu tutaingia mitini cku ya utambulisho kutokana na jins walivyo na ukilinganisha avatar zao humu jf,
Sipati picha kwa wale wenye ID mbili au zaidi itakuaje kwao,
Sipati picha wale wenye avatar nzuriii lakini wao hawafanani na avatar zao ,
Sipati picha siku hiyo, wengine humu washakua wapenzi wa kwenye mitandao hawajawahi kuonana siku hiyo anakuta ni ke mwenzie au me mwenzie ,
Sipati picha cku hiyo wenye ID na avatar za kike tunakuta ni dume tena la miraba minne ,
Sipati picha cku hiyo kwa wale waliojaza pm zao kutongozana na kuchunana washachunana wanakuta ni dume mwenzie ,
Sipati picha kwa yule nnaemzimia humu ukute ni dume ka mimi, nb: lakini cjamwendea pm.

Wana jf wenzangu mnawaza nini ikiwa jf itafika mwisho na kutakiwa tutambuane hadharani?
Mnahisi nini kitatokea siku hiyo??

Karibuni tujadili hili.
 
kungekuwa na uwezo wa ku-block mtu ama watu mpaka 5 wasiweze kuchangia thread uliyoanzisha
 
mara ya kwanza kuingia huku mwaka ule 2013 nilijuagga kuna watu wa rika langu tuuu kumbe kuna mabibi na vikongwe umri umeenda lakini chatting zao unaweza kujua ni visichana kumbe ni maajuza toka kipindi cha Adolf Hitler wanavyojibebisha ndo nawashangaaga sana hapo
 
Back
Top Bottom