Ni kitu gani unapoenda kwa vihecle inspector hupewa ili kwenda TRA kukata leseni ya udereva?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,201
2,000
Wakuu kwema? Naomba kujua ni kitu gani au document gani mtu hupewa unapoenda kwa vihecle inspector kujaribiwa kama unajua kuendesha chombo cha moto na sheria za usalama barabarani.

Kwani unapotoka huko unapaswa kwenda TRA kwa ajili ya kulipia Driving license.
 

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,900
2,000
Kule unakwenda kufanya kitu kinaitwa Qualifying Test na ukifaulu unapewa cheti cha kufaulu jaribio.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom