Ni kitu gani ulikuwa hukijui lakini ukaja kukijua/kujifunza na ungependa wengine wakijue/wajifunze

Katika maisha yetu ya kila siku tunajifunza vitu vipya ambavyo hatukuwa tukijua kabla. Inaweza ikawa umejifunza kutoka kwa mtu, ama mahali, kwenye mtandao (internet), kwenye masomo especially wale wanaosomea kitu flani, au sehemu ulienda ukajifunza kitu kipya, lakini pia hata katika experience yako ya maisha haswa kwa wale waliokula chumvi nyingi(umri mkubwa) ama vyovyote vile. Kimsingi ni kuelimishana tu humu jukwaani na kushare knowledge basi
Mapenzi in ugonjwa was akili na unapona kipindi unatoka kwenye ilo penzi...vile vile chuki na roho mbaya ni kutokana na malize .
 
Chupa ya chai haiitwi Thermos....bali neno Thermos ni kiwanda cha kutengeneza hizo chupa..ni kama "Shell" na vituo vya mafuta..
Hii chai...
Thermo ina maana ya "joto" chupa ya chai inaitwa thermos flask, ungaunga apo utaelewa. Ila sio kiwanda.

Rudia kupitia ulipopata hzo data
 
Hii chai...
Thermo ina maana ya "joto" chupa ya chai inaitwa thermos flask, ungaunga apo utaelewa. Ila sio kiwanda.

Rudia kupitia ulipopata hzo data
Mzee si ugogo upate jibu...ubishi si mzuri zinaitwa vacuum flask..
 
Ubishi wa kidwanzi siwezi..kama hujui zinaitwa vacuum flask endelea na ujuacho
Kiwanda n THERMOS LLC..... soma maelezo vzr sio kubisha usichokijua.

Mbele ya maelezo ya gugo unayoisemea ww wameeleza hv....... Vacuum flask or thermos flask
 
Jifunze


Sifa ya kiongozi mzuri lazima hupendwe na wananchi ila ukitaka heshima kubwa ipo kwenye kuogopwa
 
Ubishi wa kidwanzi siwezi..kama hujui zinaitwa vacuum flask endelea na ujuacho
Kwa sisi waduwanzi tunafaham neno "Thermo" linamaanisha "temperature"

Ila kwenu wasomi na wajuaji, Thermo ni kiwanda.
 
Kumlazimisha mtoto asome mpaka chuo kikuu..wakati anaweza kuishia kidato cha nne na akapita shortcut na kutoboa maisha...leo hii mwalimu mwenye shahada ya sanaa anaonekana si lolote kwa askari wa jeshi la wananchi tena asiyekuwa hata na diploma......
Hii wengi hawaijui kabisa. Anakuja kuelewa baada ya msoto mkali. Hata anayesoma Diploma hujiona kama amepotea but wakianza kuingia mtaani ndio anagundua kuwa alifanya kitu sahihi.
 
Kwa sisi waduwanzi tunafaham neno "Thermo" linamaanisha "temperature"

Ila kwenu wasomi na wajuaji, Thermo ni kiwanda.
emoji23.png
emoji23.png
Kabla hicho kiwanda hakijaanza kutumia neno thermos vacuum flask hazikuitwa thermos. Yes Thermo ni joto ila sio chupa ya chai. Baada ya shindano ndo ikawa hivo hadi leo
Screenshot_20211030-092334.jpg
 
Back
Top Bottom