Ramsy Dalai Lama
Senior Member
- Apr 5, 2021
- 147
- 540
Katika maisha yetu ya kila siku tunajifunza vitu vipya ambavyo hatukuwa tukijua kabla. Inaweza ikawa umejifunza kutoka kwa mtu, ama mahali, kwenye mtandao (internet), kwenye masomo especially wale wanaosomea kitu flani, au sehemu ulienda ukajifunza kitu kipya, lakini pia hata katika experience yako ya maisha haswa kwa wale waliokula chumvi nyingi(umri mkubwa) ama vyovyote vile. Kimsingi ni kuelimishana tu humu jukwaani na kushare knowledge basi