Ni kitu gani ulifanya utotoni hutakaje ukisahau?

mak89

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
1,072
914
Enzi hizo, nilikuwa na rafiki yangu wa kike na tulikuwa majirani basi watu wakawa wanatuita wachumba hao. Kuna siku alikuja nyumbani na kunikuta basi tuka cheza cheza pale mara nika mwambia twende ni ka kunyooshe basi mtoto wa watu akakubali tukaingia chumbani, nika mwambia vua nguo ulale nae akafanya kama nilivyo mwambia basi nikachukua pasi ndiyo pasi ya umeme nikachomeka kwenye switch na kuikoleza ikawa ya moto kweli nilivyomaliza nika pachika kwenye **** nikatoa pasi ikiwa na nyama mtoto wa watu alitoka chumbani mbio mpaka kwao akiwa uchi weeeeeee ikawa balaa. Je we unayo ipi ambayo hutaisahau?
 
duh, yaani ukamuunguza kwa bibi?? Alipona? Sasa hivi kwa bibi kunatumika?
 
dah! me kipindi hicho nyumba za kupanga hazina siling bord kwa juu...sa ikifika saa nne tano hivi napanda juu kupiga chabo kwavyumba venye mke na mume bana...siku moja wakati napiga chabo si nikateleza na kuangukia chumbani kwa wandugu walikuwa wanabanjuana bana...nilichezea kichapo we acha tu..
 
jf raha.mimi nililazimishwa kulia,kila nikijaribu machozi yalikuwa hayatoki{kuna mdada alikuwa anatu bully}sielewi kwa nini alikuwa na hiyo power.kufika nyumbani nikawa na practise kwenye kioo.siku ya 2,nilivyoambiwa ikawa easy.huyo dada alikuja kufukuzwa shule,maana alifanya vituko kwa watoto wengine.
 
Yaani nimeangua kicheko hapa! Kama nakuona ulivyo panic kama mjusi alieanguka kati ya watu.. Sina mbavu!

  • Thanks
Reactions: awp
yaani unacheka badala ya kukemea??

Kanikumbusha mambo ya kulala kwenye tenti afu kunamtu ana mke washindwe kujizuia.

Tenti huwa linayumba.

Yaani nimeangua kicheko hapa! Kama nakuona ulivyo panic kama mjusi alieanguka kati ya watu.. Sina mbavu!
 
dah! me kipindi hicho nyumba za kupanga hazina siling bord kwa juu...sa ikifika saa nne tano hivi napanda juu kupiga chabo kwavyumba venye mke na mume bana...siku moja wakati napiga chabo si nikateleza na kuangukia chumbani kwa wandugu walikuwa wanabanjuana bana...nilichezea kichapo we acha tu..

Hapa nadhani jamaa walikupa kipigo cha kufa mtu
 
jf raha.mimi nililazimishwa kulia,kila nikijaribu machozi yalikuwa hayatoki{kuna mdada alikuwa anatu bully}sielewi kwa nini alikuwa na hiyo power.kufika nyumbani nikawa na practise kwenye kioo.siku ya 2,nilivyoambiwa ikawa easy.huyo dada alikuja kufukuzwa shule,maana alifanya vituko kwa watoto wengine.

Duuuuhhh kweli utoto raha
 
Nilikuwa bonge la mvivu wa kutumwa na sista zangu (last born), mida ya kazi ikifika naenda room afu naingia uvunguni mwa kitanda, watatafuta mpaka wachoke. Iyo siku nimejificha uvunguni kumbe sista mkubwa kastukia dili akamwambia baba afu mzee alikuwa mkali balaa! Basi taratiibu wakaingia sisters wawili na mdingi, wakatoa godoro na chaga zake, nikatolewa mzima mzima, kichapo chake sitosahau hadi leo, lol!
 
hahahaaaaaaaaa, kweli utoto raha sana nilikuwa mama akipakua mboga mie naangalia kwanza lile bakuri lenye nyama nyingi.
 
Nilipokuwa darasa la kwanza, mwalimu akitaka kunipiga na mrushia mkojoo ili asisogee karibu yangu, yani nilikuwa mshenzi sana :biggrin:
 
Nilikuwa bonge la mvivu wa kutumwa na sista zangu (last born), mida ya kazi ikifika naenda room afu naingia uvunguni mwa kitanda, watatafuta mpaka wachoke. Iyo siku nimejificha uvunguni kumbe sista mkubwa kastukia dili akamwambia baba afu mzee alikuwa mkali balaa! Basi taratiibu wakaingia sisters wawili na mdingi, wakatoa godoro na chaga zake, nikatolewa mzima mzima, kichapo chake sitosahau hadi leo, lol!

Jf is stressfree
 
Me sitasahau siku 1 nikiwa darasa la kwanza nikaamka asubuhi kumuomba hela mshua ili nika2mie xcul, akanitosa siku hiyo, basi nikaweka mgomo wa kwenda shule siku hiyo na nikaanza kumfuatilia kwa nyuma kila mahali alipoenda siku hiyo hadi jioni, aliporudi alinikamata na nikachezea kichapo heavy, dah ctasahau ile siku!!
 
Tulivyokuwa watoto (around miaka 8 hivi), tunalala pamoja na watoto wa kike wa jirani mwema bila wazazi kuwa na wasi wasi. Kumbe hawakujua kajogolo kangu kalikuwa makini japo hakatapiki. Siku moja mzazi akaingia ghafla room na kukuta blanket imevurugika. Si akoana bora atusaidie kutufunika vizuri, kwa butwaa la aina yake, akukuta mitoto iko uchi, chupi kule! wanahema kwa panic.
Sijawahi kufinywa ktk maisha yangu kama siku hiyo. Uzuri ni kwamba siri ilifichwa na mama manake lingetimka bifu la kufa shetani kama mzazi wa mtoto wa kike angeambiwa.
ukawa ndo mwisho wa kulala kitanda kimoja.

1. waliocheza kombolela nadhani watakuwa na experience inayofanana na hii.
2. waliocheza mchezo wa kujipikilisha nadhani watakuwa na the same experience.
 
dah! me kipindi hicho nyumba za kupanga hazina siling bord kwa juu...sa ikifika saa nne tano hivi napanda juu kupiga chabo kwavyumba venye mke na mume bana...siku moja wakati napiga chabo si nikateleza na kuangukia chumbani kwa wandugu walikuwa wanabanjuana bana...nilichezea kichapo we acha tu..

Hahahaha Scofied ya kweli haya?
 
Last edited by a moderator:
kukoja kitandani... hili sitasahau..... unakojoa halafu asubuhi unapigiwa kindumbwendumbwe chalia na makopo matakoni mtaa mzima unapitishwa ilikuwa balaa ya ajabu... siku hizi jamani tumestaarabika hata kama mwanao anakojoa unampa ushauri na kumsaidi kumuamsha asikojoe kojoe, lakini zamani.... lllohhhh ilikuwa kiama jamani acha tu
 
Back
Top Bottom