Ni kitu gani kinafanya nchi yako kuwa ya kipekee? Unique

ipo serengeti na huwa ina-shift toka sehemu moja kwenda kwingine. Mchanga mweusi mwingi sana kwa mbali unaweza sema mlima flani. Chunguza mkuu
Ahsante kwa kunielimisha sikuwa nimewahi sikia hiyo wengine hatujatembea sana bongo yetu kubwa.
 
ipo serengeti na huwa ina-shift toka sehemu moja kwenda kwingine. Mchanga mweusi mwingi sana kwa mbali unaweza sema mlima flani. Chunguza mkuu

Siyo serengeti mkuu, huo mchanga uko Ngorongoro karibu na Olduvai Gorge, Very interesting kuna siku niliona star tv wanaelezea, Kweli maajabu yapo katika nchi hii, kwa mwaka unashift umbali wa kama meta 17.
 
Back
Top Bottom