Ni kitu gani kinafanya nchi yako kuwa ya kipekee? Unique

TANZANIA
THE ONLY UNITED REPUBLIC IN AFRICA
plus
The magnificent free standing Kilimanjaro mountain, the endless plains of the Serengeti and the exotic spice islands of Zanzibar
mt kilimanjaro, snow above the clouds
5465111713_d5a412387c_b.jpg

DSCN2186-1.jpg

DSCN2207-1.jpg

serengti plains
4606329031_2df059a575_o.jpg

Zanzibar beaches
17022007.jpg

17022079.jpg

5519775.jpg
[/QUOTE]
 
Simba wanaopanda miti aisee Kule Manyara National prk ni kiboko yao hiyo ni evolution in making hakuna pengine duniani revolution unaiona hivi hivi
epv0316.thumbnail.jpg
epv0019.thumbnail.jpg
epv0021.thumbnail.jpg
_mg_4424.thumbnail.jpg
 
Chatu wapanda miti kule Tarangire nao wanaifanya Tz kuwa ya kipekee. Nakuleteeni picha muda si mrefu.
 
simba wanaopanda miti aisee kule manyara national prk ni kiboko yao hiyo ni evolution in making hakuna pengine duniani revolution unaiona hivi hivi
epv0316.thumbnail.jpg
epv0019.thumbnail.jpg
epv0021.thumbnail.jpg
_mg_4424.thumbnail.jpg
hii kweli imeenda shule, nimeifagilia
 
hao chatu sijawahi sikia ah kumbe nchi yetu bado evolution inaendelea ehhh na si mnajua mwanadamu wa kwanza alitoka hapo arusha hata ushahidi wa nyayo tunao miaka kilioni kazaaa...
 
Yametunufaisha je? Pity my fellow tanzanians!

Just to imagine what we can achieve with unique resources not available to other counties. pia tunaelimishana tuone jinsi ja kutumia maliasili yetu ata kwenda kutembelea tuu kwa sikuku inaendeleza uchumi.
 
Yametunufaisha je? Pity my fellow tanzanians!
nina uhakika yametunifaisha, hata kama chembe bado ni manufaa, manufaa mengine ni indirectly, sio kila kitu kinaonekana, kuna watalii wengi wanakuja nchini, ni vitu vingi sana wamestimulate, na mapato yaliopatikana utakuta yametumika katika maeneo mbalimbali ya jamii, hizo barabara tuu wakijenga sio za watalii peke yao, na jamii yetu pia, sifa ikipata tanzania ni nzuri basi watanzania wote wanafaidika , nchi yenu nzuri, kuna manufaa mengine sio ya uchumi tuuu, maisha yana mahitaji mengi, mojawapo ni kusifiwa na kuheshimka k wa sabbau ya uzuri na upekee wako
 
Uwepo wa Ngorongoro crator, the moving sand, oldonyolengai,vyura wanaozaa kama mamalia na tanzanite. Mungu atupe nini tena tumeshindwa wenyewe kujiendeleza.
 
Hiyo moving sand ni ipi na iyo sehemu ikowapi sijawahi sikia au nimesahau unajua kuna vituvingi bongo tunachukulia mzaa kwavile tunaviona Mara kwa mara
 
Maisha magumu kazi hakuna, tofauti ya kipato ni kubwa saana kati ya matajiri na masikini lakini hatulalamiki.
 
Tatizo letu tunatumia AKILI zaidi kuliko UFAHAMU!

Ufahamu ni rasilimali Mama, Bila huo rasilimali nyingine zote ... zinatupelekea magonjwa , ufisadi , umasikini na pengine hata vita!!

Tanzania tunahitaji kuamaka Kiufahamu ...akili tunazo sana ..za kutufanya wajanja wajanja (KAMA HAO MAPACHA WATATU HAPO CCM)... na kutengeneza ufisadi..

Mtu mwenye ufahamu wa kutosha unamjengea UTU wa kusimamia AKILI na MALI ZA ASILI zinazotuzunguka!! Bila Ufamu wa kujenga Utu ... Tanzania na rasilimalizetu ... tutakuwa na akili zinazolingana na hao simba wapanda miti kwani TUMESALITI UTU wetu!! ... Tanzania AMKA kiufahamu ... that is all ..Kusoma na kuelimika kiakili hakutoshi tunahitaji kueleimika kiutu pia!!
 
Maisha magumu kazi hakuna, tofauti ya kipato ni kubwa saana kati ya matajiri na masikini lakini hatulalamiki.

Tumejawa mito na bahari Haina misimu unasema kazi akuna haPo pa kuanzia
 
Tatizo letu tunatumia AKILI zaidi kuliko UFAHAMU!

Ufahamu ni rasilimali Mama, Bila huo rasilimali nyingine zote ... zinatupelekea magonjwa , ufisadi , umasikini na pengine hata vita!!

Tanzania tunahitaji kuamaka Kiufahamu ...akili tunazo sana ..za kutufanya wajanja wajanja (KAMA HAO MAPACHA WATATU HAPO CCM)... na kutengeneza ufisadi..

Mtu mwenye ufahamu wa kutosha unamjengea UTU wa kusimamia AKILI na MALI ZA ASILI zinazotuzunguka!! Bila Ufamu wa kujenga Utu ... Tanzania na rasilimalizetu ... tutakuwa na akili zinazolingana na hao simba wapanda miti kwani TUMESALITI UTU wetu!! ... Tanzania AMKA kiufahamu ... that is all ..Kusoma na kuelimika kiakili hakutoshi tunahitaji kueleimika kiutu pia!!
mapacha gani hao?
 
Hiyo moving sand ni ipi na iyo sehemu ikowapi sijawahi sikia au nimesahau unajua kuna vituvingi bongo tunachukulia mzaa kwavile tunaviona Mara kwa mara
ipo serengeti na huwa ina-shift toka sehemu moja kwenda kwingine. Mchanga mweusi mwingi sana kwa mbali unaweza sema mlima flani. Chunguza mkuu
 
Back
Top Bottom