Ni kitu gani kimekusukuma kufanya ujenzi?

Kuna maeneo Dar ukiishi ni shule tosha kabisa yaani, , kila baada ya nyumba moja pusha na machangu wa kutosha.
Mwananyamala tena hapo ndio nimekaa miaka 10


Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)
 
nna friend of mine.....jamaa yeye kakomaa...."kujenga ni hofu ya maisha".....na kweli hata kiwanja hana habari.....na sio kwamba hana uwezo.

Tuko nae kwenye mishe sana.....ananishangaa saaaana....eti nyumba nijenge....za kupangisha wakae nani....same late 40's....namuangalia tuu...
 
Mkuu niamini mm ukiwa na matamanio kama hayo, ukiweka nia na malengo unaweza, tena sio self contained ni nyumba full.
🔹Matamanio yapo, nia ipo ila shida inakuja pale ambapo wewe kila siku unatafuta hela kwa ajili ya chakula cha kesho, na sio kila siku utaipata.

🔹Bado shangazi hajameza wembe unatakiwa utoe sijui hela ya matibabu, mkopo benki hausomeki huna kipato kinachoeleweka.

🔹Muda nao unazidi songa mbele, mwisho wa siku ukiwaza sana unaona hakuna namna unaweza fanikisha ndoto zako.
 
nna friend of mine.....jamaa yeye kakomaa...."kujenga ni hofu ya maisha".....na kweli hata kiwanja hana habari.....na sio kwamba hana uwezo.

Tuko nae kwenye mishe sana.....ananishangaa saaaana....eti nyumba nijenge....za kupangisha wakae nani....same late 40's....namuangalia tuu...

Kujenga ni woga wa maisha by the way duniani tunapita, utajengaje njiani? Kula maisha kijana, nyumba zetu za milele(kaburi) zinachukua space ndogo kuliko hayo majumba tunayoyahangaikia
 
Mke wangu ana gubu, na dharau,anatunishiana misuli na wenye nyumba,yaani kila nyumba tukipanga ile kodi ya kuigilia ndio huwa ya mwisho.

Tukaona tujenge ya kwetu/ zetu.sasa hivi nae ni land lord na upole umekuja ghafla.
Nae eti anachukia wapangaji wakorofi.
Nimechekeka bila kutegemea,
 
Wengi wetu tunajenga Mabanda tunayodai Ni nyumba.
Shida yako wewe ulienda kujenga Kerege huko more than 40 k'meter kutoka city center unadhani ungejenga nyumba ya maana?maana huko unakuta jirani yako kajenga banda la udongo juu kaezekea nyasi wote mtaona kawaida tu hata ukijenga banda la mil 17 utaona wote tunafanana.

Acheni dharau bwana!
 
🔹Matamanio yapo, nia ipo ila shida inakuja pale ambapo wewe kila siku unatafuta hela kwa ajili ya chakula cha kesho, na sio kila siku utaipata.

🔹Bado shangazi hajameza wembe unatakiwa utoe sijui hela ya matibabu, mkopo benki hausomeki huna kipato kinachoeleweka
Niamini, ukigiv-up imekula kwako. Usifikirie hela ya kula tu hautotoboa.
 
Sasa wakikutana na muhaya wangu ,vinaumana,dharau,kujikweza,shombo zote mdomoni zipo,
Mwisho wa siku mwenye nyumba anachemka utasikia, " kodi yenu ikiisha muhame, sipokei tena kodi kutoka kwenu"
ila najisikia raha sana kuwanyanyasa wapangaji wangu
 
Habari za majukumu mabibi na mabwana!

Katika harakati hizi za maisha watu hupitia mengi sana, Kuna kipindi pesa inakubali, Kuna kipindi unachapika mpaka unajuta kuzaliwa. Anyways twende kwenye jambo la msingi, hivi ulisukumwa na na nini mpaka kufikia uamuzi wa kujenga nyumba unayoishi? Ni dhahiri kabisa kwa walio wengi watakwambia walichoka na usumbufu wa ma baba na mama wenye nyumba zao
Mkuu unamiliki pagale afu unaita nyumba ya mwenzio miyeyusho? 😆😆😆😆
 
Ndiyo mkuu, unakuta unapanga kwenye nyumba shimo la choo linajaa kila baada ya week mbili, kila likijaa unatakiwa utoe laki ya kunyonya. Au unapanga nyumba unakuta mwenye nyumba anawapangia muda wa kurudi usiku anakwambia mwisho saa tano usiku ukichelewa tu geti limefungwa na Kuna mbwa koko.

Au unapanga nyumba inakuwa kama jini kwa kula umeme, na ukimwambia mwenye nyumba hana time. Nyingine unakuta Kuna room ya self ila choo cha kusquat na kimejaa, ukisaidia lazima uwe na ndoo 3 za kusukumia nyaaaa ha ha ha....tabu sana
Mkuu unamiliki pagale afu unaita nyumba ya mwenzio miyeyusho?
 
Back
Top Bottom