baby zu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,655
- 4,241
Hahahaha mimi pia niliwahi kupigwa notice miez mitatu kabla nkamwambia wala usingeangaika kunipa maana nilikua siezi kuendelea kukaa hapa na nkiondoka kuacha kodi utaina nimekuogopa nilikaa niakahama saa tano usiku ya tar ya mwisho wa mkataba.Sasa wakikutana na muhaya wangu ,vinaumana,dharau,kujikweza,shombo zote mdomoni zipo,
Mwisho wa siku mwenye nyumba anachemka utasikia, " kodi yenu ikiisha muhame, sipokei tena kodi kutoka kwenu"
Nadhan siku hyo alikua ana hamu kesho yake inikute kwake akawa haoni kama nahama nikaondoka zangu usiku mwingi. Mzaramo yule yani sijawahi tibuana na mtu maisha yangu lkn yule mama mikono juu