Naomba Mungu anijalie mwanamke wa design ya hayo mawazo yako
Wanaume wamelelewa kuwa wajikaze wasilie,wasilalamike wala wasiseme matatizo yao!Msongo wa mawazo yanayotokana na nini?
Actually,tafiti zinaonyesha tofautimimi nadhani walio amua kuishi bila ndoa maisha yao yote wana furaha kuliko walioko kwenye ndoa
nitakutafuta tulizungumze hili kwa kina.Actually,tafiti zinaonyesha tofauti
Wanaume wenye ndoa wengi wana furaha kuliko wasiooa
Wanaume wajijengee utamaduni wa ku'share changamoto zao za kimaisha kwa Wanaume wenzao ambao wanaweza wakashauriana ki'utu uzima mf kwa Baba,Mjomba,Ba Mdogo nk ama kwa wanawake wanaowaamini mfano Mama....ama Mke kama kuna urafiki na upendo wa kuweza kusitiriNi kitu gani unahisi kunawaza kufanyika kupunguza hili. Maana sasa hii ni hatari.
Wanaouana ni wachache sana..ndo mana inakuwa habarinitakutafuta tulizungumze hili kwa kina.
yawezekana ukanipa siri yake ya ndani
maana naona humu watu wanauana kila siku
nitakutafuta chemba unipe hii siri hahaWanaouana ni wachache sana..ndo mana inakuwa habari
Wengi wana ndoa za miongo mingi tu
Na wao wakiona wanawake tunalia wanafikiria udhaifu, wanawake hatukai na vitu rohoni Wala kufanya Jambo litutese ndo Mana mwanamke anaweza enda kwa mganga, nabii huko kote nikutoa nyongo na kupewa matumaini, case tofauti kwa wanaume wao kufa na tai shingoni ni uanaume, yawapasa kubadilika bila hivo vifo vya kujiua haviishiWanaume wamelelewa kuwa wajikaze wasilie,wasilalamike wala wasiseme matatizo yao!
kubeba kila jambo rohoni ni mtihani
afadhali kama mtu unasali sana unampa Mungu akubebee yale mambo(kiimani zaidi)...
Umekwisha kupokeaNaomba Mungu anijalie mwanamke wa design ya hayo mawazo yako
Hahaha nimecheka hapo mwishoni eti wachague njia laini laini lol...being lethal comes from perception ya 'uanaume' wenyewe...ama on average kutokana na ile natural role ya 'ulinzi' ni rahisi mwanaume kuwa na silaha kali kuliko mwanamke mf.shortgun ama kisuMimi nina mawazo tofauti.
Hizo hizo tafiti utagundua wanawake wanao attempt kujiua ni wengi zaidi kuliko wanaume.
Ila wanaokufa wengi ni wanaume kwa sababu hawa wanaume methods wanazotumia kujiua ni lethal/ fatal, huku wanawake idadi ya wanaokufa kwenye majaribio ya kujiua ikiwa ni chache japo wanaojaribu ni wengi kwa sababu njia tunazotumia ni rahisi kukutwa hai bado na kupata msaada.
Sisi (wanawake) tunatumia njia ambazo ni rahisi kupona kama mtu akikuwahi.
Mwanamke akitaka kujiua wengi wanawaza kumeza madawa mengi (overdosing), au kumeza dawa na pombe. Au kujikata mshipa wa damu avuje hadi afe (exsanguination). Hapo utaona kuna uwezekano huyu mtu akiwahiwa maisha yake yanaweza kuokolewa. Na ndivo ilivyo wanawake wengi ni survivors wa majaribio ya kujiua. Wanajaribu kujiua lakini wanaokolewa na kupatiwa matibabu wanapona. Ndio maana wanasema women are the attempters and survivors of suicide attempts.
Wanaume wakitaka kujimaliza wanatumia njia ambazo kupona ni vigumu sana.
Njia za wanaume ni kama kujinyonga (hanging), kupanda kwenye majengo makubwa na kujirusha (jumping), kuji-shoot, Asphyxia na kujitega kwenye magari au train wagongwe.
Hivo kwa mawazo yangu mwanamke ndio yupo kwenye hatari ya kujiua kama njia angetumia zingekuwa ni za uhakika. Mimi naona mwanamke anahitaji msaada zaidi maana wengi tuna mawazo ya kujiua mara tatu ya wanaume wenye mawazo ya kujiua.
Huku nikiwashauri wanaume wawe wanachagua njia laini laini za kujiua ili ukishaona kuzimu palivyo ukitamani kuokolewa uokolewe na usirudie makosa. Lakini kaka zangu njia mnazotumia ni hatari hata mkipona hamtatazamika.
Hivi mwanaume anatoa wapi chozi? Labda awe adolescent.Mwanaume kulia mbele za watu inaweza onekana ni tatizo;
Basi walau mkipata muda wenyewe punguza stress kwa kutoa japo chozi
Life can be difficult if u cant share