mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,513
- 10,404
Hahaaaa mi naona aibu bana, hapa hadharani mnoHahahaaa. Kweli aiseeee.
Ila sijakuona na wewe ukiandika unachojivunia ujue?
Halafu nilihisi tu utaniuliza hivo
Hahaaaa mi naona aibu bana, hapa hadharani mnoHahahaaa. Kweli aiseeee.
Ila sijakuona na wewe ukiandika unachojivunia ujue?
Hujapata mwenye hela ndo maanaBinafsi sijabahatika kupenda bado, natamani tu halafu naona zote zafanana. Sijui ntapenda lini maana nawaonea wivu wanaobebika, sijui wanaigiza na mimi niigize!?
Hahaaa. Pole sana Swahiba ila nzuri hiyo.Hahaaaa mi naona aibu bana, hapa hadharani mno
Halafu nilihisi tu utaniuliza hivo
Hahahami najivunia kwa anavyokomba hela afu sijui mchawi yule hata kama hela niya ofc najikuta nishampa tu loh! sijui natoka vp hapa
Alivyo muongo yani dah nampenda mpaka basi nahic siku akinambia ukweli mapenzi yenyewe yatakua yamefika kikomo
Hahaaaa haya bestHahaaa. Pole sana Swahiba ila nzuri hiyo.
Emmy kashangaa tu kukuona unapita kimya kimya pasi kutia neno. Ikabidi ajiongeze.
Niko poa kabisa best, hope nawe pia mzima wa afyaPoa poa!
Mzima lakini best?
haaaaaaa stress za mapenzi ni mbaya sana unaweza ukaoga huku umevaa taulo ukimaliza unatafuta cha kujifutia
Mie sijambo kabisa best namshukuru Mwenyezi Mungu.Niko poa kabisa best, hope nawe pia mzima wa afya
mi najivunia kwa anavyokomba hela afu sijui mchawi yule hata kama hela niya ofc najikuta nishampa tu loh! sijui natoka vp hapa
Congratulation ma SisterNajivunia busara zake na shauri wake tu ambao haujawahi nipoteza.
Congratulation ma Sister
Thanks, nawe pia bestMie sijambo kabisa best namshukuru Mwenyezi Mungu.
Uwe na jumamosi njema best.
Thanks, nawe pia best