NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?

hii maa bado hakijaeleweka so far naona ni mtoa thread Goeff na Shishi ndo wamejiweka wazi....na mi nakiri leo ntakuwa na 'DIP' hivi hivi mpaka mwisho

(naona sasa mjadala umegeukia kwenye mwanamke kuwa wa kwanza kuomba niniiii)
 
HE HE HE!
ujumbe umewafikia.....!
shemeji anasema TUNAWAELEWA TU
 
ahahahhahahah sipo upo kweli!!!!! mmmmm wacha niende lunch kwanza..... haya basi Ni PM angalau niache ku-imagine ahahahhahahhaha
Nashukuru kwa kugundua kuwa niko sahihi manake baadae wakati nimenyimwa kuona kile kinachonishangaza siku zote hamna hata binamu mmoja atakuja kunisaidia kupiga magoti kuomba radhi. Na ukweli ni kwamba siwezi kulala pasipo kuyaona. Hey i think you know what am talking about Shishi
 
hii maa bado hakijaeleweka so far naona ni mtoa thread Goeff na Shishi ndo wamejiweka wazi....na mi nakiri leo ntakuwa na 'DIP' hivi hivi mpaka mwisho

(naona sasa mjadala umegeukia kwenye mwanamke kuwa wa kwanza kuomba niniiii)
Jamani 'bht' hata mimi sijawa wazi tu???? Mwe! Mtoto wewe!
 
Kuna siku niliopoa dada mmoja kumbe nikikojozi dah si akanilazimisha nivue nguo zote nikalala naked na sio kawaida yangu naogopa popobawa au kuvamiwa usiku si mnajua tena yule dada alipojikojolea akanisogeza mm upande alipo lala yeye alafu yeye akahamia kukavu dah mm usiku kushtuka nikaona eheeeeee mambo yameharibika uliza nn kilichotea hapo....
HA HA HA HA!
NAONA MPWA MMOJA BAADA YA MWINGINE MIOYO IMEANZA KUFUNGUKA!zamu ya bht sasa.....
 
mapaja yake tu, am always dying there jamani, i cant explain, i dont think kama kuna siku nitakinai kushangaa haya mapaja+
inaonekana mapaja ya mchuchu ALIYEKUTUNUKU PENZI ni kama mitutu!ha ha ha ha!sishangai,mapaja ya wanawake yapo tofauti sana kwakweli1nashukuru kwa kutoa kile kinachokushangaza!mpwa mwingine moyo umefunguka sasa!............bht to follow
 
NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?----mapaja yake tu, am always dying there jamani, i cant explain, i dont think kama kuna siku nitakinai kushangaa haya mapaja+

Bwashee si unaona! Indirect explanations! Hahaha! Kazi yetu ni kufumbua mafumbo na kumwelewa mtu. Hii sredi watu wameamua kukwepa kuwa wazi moja kwa moja!
 
Bwashee si unaona! Indirect explanations! Hahaha! Kazi yetu ni kufumbua mafumbo na kumwelewa mtu. Hii sredi watu wameamua kukwepa kuwa wazi moja kwa moja!
.............wameamua kutumia INDIRECT METHOD!ambayo ni njia rahisi kuliko zoote!bht to follow!wapwa mioyo inafunguka
 
Hivi mwanamke akiwa wa kwanza kulianzisha kulonga men utamfill vipi,okey usiwe nshi sana ila wewe lianzishe tu maana chelewachelewa utamkuta mwana c wako,hawachelewi kubadilika hao wewe longa ujilie vyako mwanawane

Bwasheeee! MWINGINE HUYU! Alitongozwa huyu! Tutawatambua tu leo! LOL!
 
Bwashee si unaona! Indirect explanations! Hahaha! Kazi yetu ni kufumbua mafumbo na kumwelewa mtu. Hii sredi watu wameamua kukwepa kuwa wazi moja kwa moja!
Haha Mpwa umeikamata hiyo eeh!!
Mkuu suppose yanakuwa kama ya Agness wa Zero Pub + kile kijungu kwanini husishangae mpaka udenda ukutoke kila siku. Wacheni nyie kuna vitu unique bwana
 
Yawezekana ni muoga na anashindwa jinsi ya kukuanza au ww uko siriazi sana huwa huna mazoea ya kutaniana ( kuchezacheza nae) na kama shughuli anaimudu na anapenda jaribu kuwa karibu zaidi ya hapo mlipo huenda atakuanza nae sikumoja.

Ila wangu akikasirika huwa anaweka mito kati tusigusane

BWASHEEEEEE! Huyu hapa mwingine! Indirect methods hizi! Hahaha!
 
BWASHEEEEEE! Huyu hapa mwingine! Indirect methods hizi! Hahaha!
HA HA HA HA HA!
hii ni ze simplesti mesoodi i have never learned!ndoa zina vioja kweli kweli!NGULI TO FOLLOW!....
 
Back
Top Bottom