Ni kitu gani au jambo gani zuri ungependa kumfanyia mpenzi wako siku ukijaliwa kupata pesa?

nelly nashon

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
242
521
Katika mahusiano kuna mambo mengi mazuri huwa tunawawazia wapendwa wetu pale Mungu atapokujalia kupata pesa,

Ndoto hii ni kwa kila mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake.

Mie siku nikipata pesa, natamani sana Kumnunulia mke wangu gari..

Je, wewe ungependa kumfanyia nini mpenzi wako siku ukijaliwa kupata pesa?

Tililika, tujifunze.
 
Kiukweli kabisa kutoka kwenye handaki la moyo wangu lililohifadhi thamani ya mapenzi yake, nitaongeza mpenzi mwengine.
 
Back
Top Bottom