Ni kitu gani au jambo gani zuri ungependa kumfanyia mpenzi wako siku ukijaliwa kupata pesa?

Katika mahusiano kuna mambo mengi mazuri huwa tunawawazia wapendwa wetu pale Mungu atapokujalia kupata pesa,

Ndoto hii ni kwa kila mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake.

Mie siku nikipata pesa, natamani sana Kumnunulia mke wangu gari..

Je, wewe ungependa kumfanyia nini mpenzi wako siku ukijaliwa kupata pesa?

Tililika, tujifunze.
Nitafanya booking ya Oasis of the Seas ili tusafiri kwa mwezi mzima..
 
Ni kumpeleka China na Dubai akachukue zaga ajishughulishe na biashara mjini hapa,ili tusaidiane katika kuutafuta utajiri.
 
Nyumba nzuri na Gari nzuri.
Kufungua biashara yetu ili tuendeleze kuitunza familia kwa Upendo na amani
 
Invalid Dream...
2524EFD600000578-2929896-image-a-58_1422462783968.jpg


maxresdefault.jpg


bc022584cb4274133e42a74451859923--bot-boating.jpg


7032880-3x2-940x627.jpg
Cruise-ship-Allure.jpg


0ccdea449c88280cff767adccb8c3999.jpg
Gulfstream-IV-exterior.jpg


article-2283321-18358248000005DC-639_964x614.jpg
images


hqdefault.jpg
country-retreat-indoor-pool.jpg


Luxury Cemeteries...
130219101711-cemeteries-pere-lachaise-paris.jpg
 
Kufungulia kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi ktk mazingira magumu b ' coz ht mm nimetokea huko
 
  • Thanks
Reactions: naa
Back
Top Bottom