Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Nisichokiweza kutamka ni neno la Kingereza "STATISTICS" Yaani hata uniwekee Tsh. Milioni moja siwezi kutamka hilo neno kwenye kinywa changu. Nimelifanyia mazoezi wee waaapi. Huwa nikisikia mtu analitamka tena kwa madaha namuonea wivu sana.
 
Mimi nimeshindwa kabisa kujisaidia vyoo vya kukaa lazima nichchumae juu ya sink, niliianza tangu nikiwa mdogo yaan inawezekana kun.y.a umekaa kweli?!, Kuna mtu alinambia ukizoea ivo siku ukibanwa na tumbo la kuhara waweza tia aibu maana mwili unakua tayari unajua kuwa hata ukikaa ni muda sahihi kuachia vitu, tangu 2005 sijawahi jisaidia nimekaa kwenye hivi vyoo vya kukaa labda muninyonge
 
Nianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
Kuwaelewa wanawake yani mpaka leo wife nimeshindwa msoma kabis
 
Mimi nimeshindwa kabisa kujisaidia vyoo vya kukaa lazima nichchumae juu ya sink, niliianza tangu nikiwa mdogo yaan inawezekana kun.y.a umekaa kweli?!, Kuna mtu alinambia ukizoea ivo siku ukibanwa na tumbo la kuhara waweza tia aibu maana mwili unakua tayari unajua kuwa hata ukikaa ni muda sahihi kuachia vitu, tangu 2005 sijawahi jisaidia nimekaa kwenye hivi vyoo vya kukaa labda muninyonge
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mpaka leo nimeshindwa kufahamu neno lingine la kiswahili lenye maana linaloishia na FO ukiachana na kifo, na fofofo
Tusaidiane hapa.
 
Mimi naweza table zote ila table ya kwanza na ya pili zimenishinda kabisaaaa, yaani lazima nitumie simu au four figure ili kupata majibu
Mimi table zote nlkua naweza isipokua ya 9 tu ndiyo iliyokua inanipa wakati mgumu na nimechezea sana stiki sabu ya hii table kipindi nasoma, Ndiyo sababu ya ID ya JF make mpaka leo nakumbuka ugumu wake.
 
Back
Top Bottom