Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

Nianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
Ushirikina..! Hii sayansi pamoja na kuisoma sana lakini bado inaniacha na mshangao mkubwa
 
Mkimaliza mtuwekee sie wa VIIB mwenzetu aliisha toboa
20211014_115457.jpg
20211014_115436.jpg
 
Mimi nimeshindwa kabisa kujisaidia vyoo vya kukaa lazima nichchumae juu ya sink, niliianza tangu nikiwa mdogo yaan inawezekana kun.y.a umekaa kweli?!, Kuna mtu alinambia ukizoea ivo siku ukibanwa na tumbo la kuhara waweza tia aibu maana mwili unakua tayari unajua kuwa hata ukikaa ni muda sahihi kuachia vitu, tangu 2005 sijawahi jisaidia nimekaa kwenye hivi vyoo vya kukaa labda muninyonge
Uko na ufala sana dah
 
Kwakweli hata mimi nimeshindwa kabisa
 
Back
Top Bottom