Ni kitu gani ambacho kiliwahi kukutoa ushamba?

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,661
8,655
Je nikitu gani ambacho kiliwai kukutoa ushamba katika maisha yko unacho kikumbuka..

Mimi ni pikipiki ilinitoa ushamba sana hicho kitu enzi hizo lakin
weka na chako twende sawa
 
Mara ya kwanza kutumia smart phone, nimetoka dukani nimefika home nimeicharge battery full nimeingia mtaani, mtu wa wa kwanza ananipigia ninapress green button, kuna kaka aliniona alikuja kunisaidia kufuta na kidole, oohh.
doooh...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom