Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

1.ku puu.
2.Kula, natamani tumbo lingekua na zipu unafungua unamwagia chakula unafunga zipu,mdomo ninywee bia tu
3. Kuchangamana na watu, napenda kukaa mwenyewe, mara nyingi majirani wanajua nasafiri kumbe ni kazini then ndani na mute tu....Aisee kingine naombwa sana hela na watu hata wengine siwajui inaniboaga sana.
kati ya vyote...hapo umeniacha hoi aiseh 😆😆😆
 
Hivi kubadilika kiaje??
Nifafanulieni ili nisije muonyesha rangi mtoto wa watu atakayekuja kwangu

Saint mimi siku focus sana kwenye hilo eneo la kubadilika, nilikubaliana na Chakorii aliposema "Mwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora"

Hata hivyo, kwenye kubadilika ni kweli huyo "mwamba" ata suffer...kwa namna ulivyo (the way umeji describe) utakua ume set the bar too high kwa ndugu yetu, kitu ambacho mabadiliko madogo tu yatamuwia vigumu ku cope.

All in all, mume wako pia atakua na jukumu la kuhakikisha hubadiliki, I mean...why should you change for the worse if you're getting the right treatment from the man you love?
 
Hadi nimesisimuka niliposoma comment hii.
Kweli hakuna haja ya kubadilika vibaya kama ananitreat vizuri

Hata asiponipa right treatment sibadiliki
Mwanaume utakayekuja jua tu kuwa nikikupenda sikuachi ng'oo,fanya ujinga wote tutanyooshana tu
 
Saint mimi siku focus sana kwenye hilo eneo la kubadilika, nilikubaliana na Chakorii aliposema "Mwanaume atakaekupata atakuwa amepata kilicho bora"

Hata hivyo, kwenye kubadilika ni kweli huyo "mwamba" ata suffer...kwa namna ulivyo (the way umeji describe) utakua ume set the bar too high kwa ndugu yetu, kitu ambacho mabadiliko madogo tu yatamuwia vigumu ku cope.

All in all, mume wako pia atakua na jukumu la kuhakikisha hubadiliki, I mean...why should you change for the worse if you're getting the right treatment from the man you love?
Umeelezea Vizuri sana mkuu..unaoffer yangu aiseh..

Anza na 🥂
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Nikisema sikupendi utafanyaje

Mimi buana sipendi kutembea tembea,yaani kutembea kwa namna yoyote ile iwe kwa gari,miguu nk.
Natamani ningekuwa na kila kitu nitoke j2 tu kwenda kuabudu.
Kumbe nawe "Geti kali" 😂
Usijali, hata mi' nipo hivyo, ila siku hizi nimeanza kupenda kusafiri-safiri kwa daladala na mwendokasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom