Ni kitabu gani cha kuongeza maarifa kuhusu ndoa/mahusiano umesoma?

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,086
2,189
Habari za wakati huu wadau wa jf. Kuna msemo unasema "before marriage, search the knowledge about it". Mahusiano mengi yamekuwa yakivurugika kutokana na wapenzi kutokuwa na maarifa yoyote kuhusu marriage. Kundi kubwa la vijana wanaanza mahusiano wakiwa hawana uelewa wowote. Vijana wenzangu naombeni tuweze kushare vitabu mbalimbali vinavohisu ndoa ili kama kuna mtu hajawahi kusoma apate maarifa kupitia vitabu utakavyoweka hapa. Mimi nimesoma hivi hapaView attachment Keys for living single.pdfView attachment Love_and_marriage.pdfView attachment Men Are from Mars, Women Are from Venus The Classic Guide to Understanding the Opposite Sex.pdfView attachment Single, Married, Separated and - Myles Munroe.pdfView attachment Waiting & Dating Dr. Myles Munroe.pdf
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom