Ni kipi kiwango cha mshahara wa Pump Operators

Majesty S P

Member
Sep 24, 2020
62
85
Wakuu natumai mko poa.

Nauliza mishahara ya hawa watu chini kwa mwezi. (Gross salaries/Net Salaries).

1. PUMP OPERATORS
2. ELECTRICAL TECHNICIAN

Kwenye PumpStations za mashirika kama DAWASCO, DUWASA, MTUWASA, SEMUWASA na kadhalika hapa Tz.
 
nipe link ya electrical installation niapply
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom