Ni kipi kinafanana kati ya maneno haya mawili ya kisheria?

mbiza

JF-Expert Member
Feb 8, 2014
525
126
Habari wadau,samahani nilikua naomba kufahamu similarities kati ya confession and admissions
 
Ukisoma katika sheria ya ushahidi tofauti yake haiji vizuri ila kutokana na case law confession ni pale mtu anakubali mambo yote ila admission anakubali baadhi ya mambo
Kwa kuongezea kwa mfano case ni Murder (Kuua kwa kukusudia) Kwene Admission unakubali kuua mtu lakini unapinga kuwa hukukusudia kumuua ni bahati mbaya(Manslaughter).... lakini ukikubali kuua mtu kwa kukusudia hiyo ndiyo Confession yaani umekubali kila kitu kwenye charge.
 
Habari wadau,samahani nilikua naomba kufahamu similarities kati ya confession and admissions
Similarities ni kwamba zote unakubali...tofauti ni kwamba kwenye Admission kuna vitu unakubali ila kuna vingine unakataa...
 
Back
Top Bottom