Ni kipi kilichojificha kwenye ndoto zetu?

Kuna siku tulikuwa tumelala matanga kunajamaa akawa anaota anakimbia kumbe ndo anatenda kweli sasa huyu nae atakuwa upande gani kwenye kipengele cha kuuacha mwili wa kawaida na kuuchukua wa kiroho? Wajuvi mkuje huku
 
Mimi huwa naota katika ndoto najua kabisa hapa nipo kwenye ndoto hii hali imenitokea kama mara mbili

Hizi huwa si ndoto mara nyingi huwa unakuwa umeona Kwa macho yako ya rohoni.Mfano wale wanaoota wanafanyishwa mapenzi Au wale wanaoot wanakabwa lakini anajijua kabisa "hapa nimelala Niko ndotoni lakini Hiko kitu kinatokea Kweli "hizi huwa si ndoto Bali unakuwa unaona Kwa macho yako ya rohoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu maisha ya ndotoni yanakwenda kasi sana na unaona kabisa yana muda mrefu ila huwa ni masaa machache ya duniani,Mimi huwa najitambua niko ndotoni ila huogopa kufumbua macho hasa wakati wa kupaa maana ndoto huchezwa kwa makisio,mfano unaweza paa kwa makisio seem moja mpka nyingine au sayari moja mpka nyingine...kuna kipindi nilizani nafia huko huko wakati natoka sayari moja wapo nilikua nafukuzwa na mijitu nisiyoilewa nilikosea njia jua likawa linanivuta angani huko niliishiwa nguvu kila nikitaka kuchomoka ndotoni mwili unagoma mpka nikachoka nikitaka kumix mawazo nihame ukurasa mwingine mambo yanagoma nabaki pale pale usawa wa jua hapo lilionekana kuwa mbali lilinipa hisia ya ujoto kabisa kuwa hili jua linanichoma,nilijitahidi sana kuhamisha mawazo ilishindikana,

Maana ndoto zinatabia ya kuchange kwenye mind yako ww unachotaka basi kinakuja nilipochokaa kabisa na kukata tamaa na ninajitambua kabisa kuwa nipo ndotoni maana Mimi nimeshazoea toka utotoni nikajua huko duniani nimeshakufa maana kwa mahesabu niliyopiga pale angani nilielea kwa muda mrefu sana hata siku kadhaa nilimaliza nikajua basii nimeshakufa duniani huko nililia sana lakini baadae nikashtuka Niko hoi mwili umelowa jasho na nimechoka nahemaa juu sikulala tena apo kwa woga...

Kuna kingine unatakiwa kujua kama mlikua hamjui ndoto kwa Mimi toka nakua naamini ni maisha halisi ya upande mwingine tena yenye utashi kuliko.haya ya sasa na ndio maana ukidomba demu yeyote ndotoni raha ni ile ile kumwaga ni kulekule utamu ni uleule kilaa kituu ni kilekile Mimi kuna kipindi nilikua natembelea mji Fulani (siri Yangu) kuna watoto wazuri kula sana starehe sanaaa maisha safi sanaa endapo kama wengi watagundua maisha aya ya nyuma ya pazia watasimulia humu kama wakionja matunda yake....

Kilichonishinda tu Mimi ndotoni kwanini huwa nikitoka ndotoni mfano nimeshafanya mengii nikikaa siku2 au 3 nasahau niliota nn majuzi ata nitulize kichwa vipi siwez kumbuka....

Kuna tatizo sasa limenikumba na limekua kama ugonjwa ninahisi tatizo kuu ni Mimi kuzoea kucheza na kufanya maisha upande Wa pili wa dunia Mara nyingi kila napolala mchana labda nikapitiwa na usingizi mzito tu ghafla sasa inapokuja wakati wa kuamka kinachonipata uu mwili wangu huu nauona kabisa umekufa ganzi yani kabisa na nakuwa naona kila kitu na kama watu wanaongea naskia ila kunyanyua hata kidole cha mwili halisi siwezi ila naweza kugeuza kichwa na kunyanyua mkono kwa mwili wa ndotoni kupiga kelele pia napiga ichi kitu huwa kinaniogopesha mno na haswa hutokea wakati wa mchana ila sijawai kuthubutu kuamka na mwili wa ndotoni uwa nabaki pale pale mpka ninapo jirudi kwenye mwili wa kawaida na ile ganzi kuisha ndipo naamkaa.

MAISHA YA NDOTONI NI MAISHA HALISI KABISA NA SIO UWONGO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii experience imetukuta wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto zangu mpaka naonaga aibu kuzisimulia inabaki siri yangu tu. Ila kwa sabab hamnioni nitasema utamchapaje viboko Rais wako?

Jiwe nimemtandika sana ndotoni ila sugu, mkapa nilimchapa kesho yake kweli anachechemea!

Jk alikuwa rafiki sana tunapiga story, na kweli siku ya siku yake akatuita bana kusherehekea miaka 50 ya uhuru!
 
Duuuuh....Mada fikirishi sana hii.... Ivi mkuu alielala ndie anaeota na ktk ndoto 2nazoota 2naona ni kwamba haya ni maisha halisi kabsa na ya mwili wa nyama japo wengine hatujijui km tunaota mpaka unaposhtuka ndo unajua daaaah....nlikua naota kumbe!! Swali langu ni je!? Tunapokufa yale ndo maisha tunayoenda kuyaishi manake kwamba ndoto tunazoota ni kuonyeshwa maish yetu baada ya huu mwli kufa au ndoto ni matokeo tuu ya mfumo wa ufanyj kaz wa mwanadamu na mwli wake au kuna siri gani hapa ktk ndoto mkuu????
 
Ndoto zangu mpaka naonaga aibu kuzisimulia inabaki siri yangu tu. Ila kwa sabab hamnioni nitasema utamchapaje viboko Rais wako?

Jiwe nimemtandika sana ndotoni ila sugu, mkapa nilimchapa kesho yake kweli anachechemea!

Jk alikuwa rafiki sana tunapiga story, na kweli siku ya siku yake akatuita bana kusherehekea miaka 50 ya uhuru!
Duuuh we noma mkuu
 
Ndoto ni reflection ya mawazo, matendo na harakati za maisha za kila siku..lakini time travellers wanasafiri wakiwa katika ndoto..ndoto zina maana nyingi kiroho na kimwili..ukitafsiri sawasawa zinaweza kuwa ishara au maono ya mambo yajayo..hata Mwenyezi Mungu ameongea na mitume na manabii kupitia njozi..kwa upande mwingine ndoto ni daraja la mawasiliano ya mwili, roho na nafsi kwa usahihi kabisa..ukiwa ndotoni mlango wako wa sita wa fahamu unakua wazi na unaweza kutumika vyema wakati huo.l kwakua conscious mind inakua inactive na subconscious mind inakua active Sana wakati huu.
 
Alafu maisha ya ndotoni yanakwenda kasi sana na unaona kabisa yana muda mrefu ila huwa ni masaa machache ya duniani,Mimi huwa najitambua niko ndotoni ila huogopa kufumbua macho hasa wakati wa kupaa maana ndoto huchezwa kwa makisio,mfano unaweza paa kwa makisio seem moja mpka nyingine au sayari moja mpka nyingine...kuna kipindi nilizani nafia huko huko wakati natoka sayari moja wapo nilikua nafukuzwa na mijitu nisiyoilewa nilikosea njia jua likawa linanivuta angani huko niliishiwa nguvu kila nikitaka kuchomoka ndotoni mwili unagoma mpka nikachoka nikitaka kumix mawazo nihame ukurasa mwingine mambo yanagoma nabaki pale pale usawa wa jua hapo lilionekana kuwa mbali lilinipa hisia ya ujoto kabisa kuwa hili jua linanichoma,nilijitahidi sana kuhamisha mawazo ilishindikana,

Maana ndoto zinatabia ya kuchange kwenye mind yako ww unachotaka basi kinakuja nilipochokaa kabisa na kukata tamaa na ninajitambua kabisa kuwa nipo ndotoni maana Mimi nimeshazoea toka utotoni nikajua huko duniani nimeshakufa maana kwa mahesabu niliyopiga pale angani nilielea kwa muda mrefu sana hata siku kadhaa nilimaliza nikajua basii nimeshakufa duniani huko nililia sana lakini baadae nikashtuka Niko hoi mwili umelowa jasho na nimechoka nahemaa juu sikulala tena apo kwa woga...

Kuna kingine unatakiwa kujua kama mlikua hamjui ndoto kwa Mimi toka nakua naamini ni maisha halisi ya upande mwingine tena yenye utashi kuliko.haya ya sasa na ndio maana ukidomba demu yeyote ndotoni raha ni ile ile kumwaga ni kulekule utamu ni uleule kilaa kituu ni kilekile Mimi kuna kipindi nilikua natembelea mji Fulani (siri Yangu) kuna watoto wazuri kula sana starehe sanaaa maisha safi sanaa endapo kama wengi watagundua maisha aya ya nyuma ya pazia watasimulia humu kama wakionja matunda yake....

Kilichonishinda tu Mimi ndotoni kwanini huwa nikitoka ndotoni mfano nimeshafanya mengii nikikaa siku2 au 3 nasahau niliota nn majuzi ata nitulize kichwa vipi siwez kumbuka....

Kuna tatizo sasa limenikumba na limekua kama ugonjwa ninahisi tatizo kuu ni Mimi kuzoea kucheza na kufanya maisha upande Wa pili wa dunia Mara nyingi kila napolala mchana labda nikapitiwa na usingizi mzito tu ghafla sasa inapokuja wakati wa kuamka kinachonipata uu mwili wangu huu nauona kabisa umekufa ganzi yani kabisa na nakuwa naona kila kitu na kama watu wanaongea naskia ila kunyanyua hata kidole cha mwili halisi siwezi ila naweza kugeuza kichwa na kunyanyua mkono kwa mwili wa ndotoni kupiga kelele pia napiga ichi kitu huwa kinaniogopesha mno na haswa hutokea wakati wa mchana ila sijawai kuthubutu kuamka na mwili wa ndotoni uwa nabaki pale pale mpka ninapo jirudi kwenye mwili wa kawaida na ile ganzi kuisha ndipo naamkaa.

MAISHA YA NDOTONI NI MAISHA HALISI KABISA NA SIO UWONGO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo yako yanatisha flani hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom