Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,170
- 11,146
Mbona waliomuuzia ujamaa wao wako mbele mita 800We fikiria usanifu wa bwawa la Nyerere ulufanyika Kipindi chake.
Huyu jamaa alikua anawaza mbali mno, kama asinge uziwa ujamaa na wachina, basi tungekua mbali sana kiuchumi.