Ni kiongozi yupi ni msafi na mwadilifu ndani baraza letu la mawaziri? kama yupo mtaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kiongozi yupi ni msafi na mwadilifu ndani baraza letu la mawaziri? kama yupo mtaje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by buhange, Jan 28, 2012.

 1. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu wana wa JF,

  Ni wakati mwingine wa kutafakari utendaji na uwajibikaji wa mawaziri wa wizara mbalimbali ktk serikali ya MAGAMBA. Kwa kujikita ktk hilo, unafikiri ni nani ktk baraza hilo kubwa lenye Utitiri wa Wizara, unahisi anaonyesha uadilifu na uwajibikaji ktk majumu yake?,
  Ikitokea akakosekana hata mmoja, nini tafasiri yake kwa msitakabali wa taifa kama hili lenye rasimali lukuki?

  Uwanja ni wako....
   
 2. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna usemi wa kiswahili usemao, "Samaki moja akioza wote wameoza." Lakini sidhani kama ni vyema kuitumia methali hii kwa Biandamu kwa, isipokuwa katika nyakati maalum. Hivyo basi, mimi naweka kichwa changu kwa muheshimiwa Omar Nundu, Waziri wa Uchukuzi.
   
 3. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Na viongozi wangapi wa upinzani ni waadilifu? Me nadhani azimio la Zanzibar la 1992 limetuletea a very thin line between viongozi wenye integrity na wale corrupt. Hakuna shaka CCM wapo wengi zaidi kwani wao ndio wapo in the centre of the circle (madaraka) hivyo kupata mwanya wa kutumia madaraka vibaya kuliko wenzao waliokuwa in the periphery. Vinginevyo kigezo au kipimo cha uadilifu sio kuwa CCM au Upinzani, bali Uzalendo kwa nchi yako.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mbona unaonesha interest zako kabla hata watu hawatoa michango yao? Inaonekana tayari kwa chuki zako binafsi umeshaegemea upande mmoja, kwa nini utangulize neno ikitikea hakuna hata mmoja si ungeacha kwanza watu wachangie? Mawaziri wote ni wachapa kazi. Haiwezekani waonekane hawafai kwa sababu ya personal interest za watu kama wewe. Muunge mkono kiongozi wako kwa maendeleo ya taifa. UZALENDO KWANZA , MAJUNGU BAABADE.
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Umenena vyema. Hii issue si ya CCM wala upinzani, hili ni suala la kitaifa. Limejikita katika nyanja zote katika jamii ya Watanzania.
   
 6. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Kwa vigezo vya magamba magamba, kiongozi mwadilifu kuliko wote ndani ya baraza la mawazili ni Mheshimiwa Ngeleja. Mheshimiwa huyu ni mwadilifu ndani ya serikali magamba kwa kuiongoza wizara inayoongoza kuwafilisi walalahoi na taifa letu:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:.
   
 7. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ngeleja ni MKOBA AU BANK YA MAFISADI AKIWEMO JK.
   
 8. p

  pilipili kichaa JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2014
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 6,238
  Likes Received: 2,216
  Trophy Points: 280
  Watu kama Ngeleja wangekula kitanzi kwa namna walivyoharibu Nchi
   
 9. K

  Kiyoya JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2014
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,280
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Wewe unasubiri mpaka wafe ndo unaleta vijiswali vya ugomviugomvi
   
 10. iparamasa

  iparamasa JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2014
  Joined: Nov 14, 2013
  Messages: 13,439
  Likes Received: 14,098
  Trophy Points: 280
  Prof muhongo, uadilifu umemlevya mpaka anaanza kutukana mpaka waliombatiza, labda baada ya kuupata uwaziri amekubwa na mgao wa busara kichwani unaosababishwa na mgao wa umeme
   
 11. swagazetu

  swagazetu JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2014
  Joined: Nov 28, 2013
  Messages: 3,854
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ni kapuya mbakaji
   
Loading...