Ni Kiongozi Gani Hutamsahau Maishani Mwako?

Nitamkumbuka Kikwete, kwa maana ndio mwafrika pekee anayeikimbiza rekodi ya Vasco da Gama. Hata wamama wajasiriamali wanaoenda Dubai na China hawamwezi. Ila sijui huyu komredi anaendaga kuchukua nini?
 
Moja ya sifa kubwa aliyonayp binadamu ni utashi na mojawapo ya sifa ya utashi ni tafakuri na uamuzi....je katika historia ya maisha yako kiongozi gani hutamsahau (kwa mema au mabaya)?na kwa nini?
Kwanza swali lako lina maksi ngapi kabla sijaanza kulijibu. Limekaa kimtihani mtihani vile!
 
Back
Top Bottom