Ni kiongozi gani atakayebadilisha IBARA YA 40 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

wwww

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
350
252
Ndugu wanajamvi naomba tuweke huu uzi hapa kwenye kibandiko ili ukisubiria kuona kiongozi atakaye kuwa wa kwanza kubadili Ibara ya 40 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuondoa ukomo wa vipindi vya kutawala.

Nawabadikia Ibara yenyewe hapa chini ili muweze kuisoma.

Haki ya kuchaguliwa
tena Sheria ya 1984
Na.15 ib.9 Sheria
Na.34 ya 1994 ib.9 40.-

(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote ambaye ni Rais
anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti hicho.
(2) Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais.
(3) Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar hatapoteza sifa za kuweza kuchaguliwa kuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano kwa sababu tu kwamba aliwahi kushika madaraka ya Rais Zanzibar.
(4) Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa
kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini
kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi
ya Rais mara moja tu.

Tujadili kistaarabu.
 
Mwinyi n.a. cheyo n.a. wasukuma wamemwomba magu aendelee milele akikubali itabidi aipangue hiyo katiba maana wananchi wamemwomba. Yetu macho n.a. masikio. Tutayaona mengi awamu hii.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Tufahamu agano ni agano,pia lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa.Mungu alie hai huheshimu patano lolote ambalo watu wanapatana.

~kuvunja sheria hiyo ndio mwanzo wa machafuko,migongano na umwagaji damu usiokuwa na sababu.acha tu utaratibu ufuatwe.

Sent from my SHV-E250S using JamiiForums mobile app
 
Mwinyi n.a. cheyo n.a. wasukuma wamemwomba magu aendelee milele akikubali itabidi aipangue hiyo katiba maana wananchi wamemwomba. Yetu macho n.a. masikio. Tutayaona mengi awamu hii.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Umeisoma vizuri.Mimi nimelewa hivi rais hataruhusiwa kugombea zaidi ya Mara mbili kauli zao hazitasaidia kitu sheria ipo

Sent from my X1 atom using JamiiForums mobile app
 
Hayo mabadiliko yatapita kwa Kishindo tena bila kupingwa. Tunataka Maendeleo tumechoshwa na Uduwanzi wa DOMOKRASIA.
 
Umeisoma vizuri.Mimi nimelewa hivi rais hataruhusiwa kugombea zaidi ya Mara mbili kauli zao hazitasaidia kitu sheria ipo

Sent from my X1 atom using JamiiForums mobile app
Ni kweli sheria hairuhusu ila kwa magu hakuna sheria wala katiba. Kila siku anavunja katiba bunge mmmm mah
akama mmmm unategemea nini hapo.Mod tunza huu Uzi kama ulivyoombwa maana wakati haudanganyi.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Mwinyi n.a. cheyo n.a. wasukuma wamemwomba magu aendelee milele akikubali itabidi aipangue hiyo katiba maana wananchi wamemwomba. Yetu macho n.a. masikio. Tutayaona mengi awamu hii.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Wasukuma wengine hatutaki ujinga, usitumie maoni ya watu fulani kupakazia kabila zima.

Magufuli angejiuzulu leo urais angefanya jambo la maana sana. Nchi imemshinda.
 
Baada ya ukomo wa juu wa miaka 10, nchi inatakiwa ipate mtu mpya mwenye mawazo mapya. Hata wakati wa JK kuna watu walisema aendelee, na support alikuwa nayo ya kutosha!
 
Ndugu wanajamvi naomba tuweke huu uzi hapa kwenye kibandiko ili ukisubiria kuona kiongozi atakaye kuwa wa kwanza kubadili Ibara ya 40 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuondoa ukomo wa vipindi vya kutawala.

Nawabadikia Ibara yenyewe hapa chini ili muweze kuisoma.

Haki ya kuchaguliwa
tena Sheria ya 1984
Na.15 ib.9 Sheria
Na.34 ya 1994 ib.9 40.-

(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote ambaye ni Rais
anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti hicho.
(2) Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais.
(3) Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar hatapoteza sifa za kuweza kuchaguliwa kuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano kwa sababu tu kwamba aliwahi kushika madaraka ya Rais Zanzibar.
(4) Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa
kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini
kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi
ya Rais mara moja tu.

Tujadili kistaarabu.
ni wananchi tutabadilisha ili jpm atawale milele kwa kanzi nzuri anazofanya
 
Hivi kW nini hatupati ile mis mikubwa mikubw ya Kitaifa?? Tunakandamizwa na kuonewa kwa visasi visivyo na maana!! Kwa faida ya nani ili iweje?? Wapinzani wapo kwa mujibu wa sheria!! Akitaka afute sheria vyama vingi.....ili visasi vipungue! Tunataka maendeleoo hatutaki visasi!!!.....huwezi kufanya maendeleo bila visasi???
 
Back
Top Bottom