Ni kina nani wanasimamia System(Money transfer) katika Dunia.

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Mfano unakuta kodi inakusanywa then kwa namba tu sio cash mpaka inafika serikari kuu pale hazina eg.BOT,

Unaweza kuta BOT nao wanahizinisha, kwa namba hizo hela kwenda kwenye miradi ila mwisho kabisa mtu anapokea Cash,

Au Serikari inavyoenda kukopa WB(Word Bank ) mi naamini hawapewi Cash, wanapewa minamba tu lakini mwisho wa siku mtu wa mwisho anapokea cash,

Nani alianzisha hiyo System, na nani anacontrol all the System katika Dunia hii,

Na Bank ya Dunia nani alianzisha, nani anaicontrol, Je kila nchi ina Acount yake pale Bank,
Nani anasimamia mzunguko wa hizo pesa za minamba namba huko Bank,

System nzima ya Dunia inavyojiendesha kuanzia utengenezaji wa hela, business Control,
Money transfer ni nani anasimamia.

Cc Zero IQ
 
Ndugu Zero IQ,

Mfumo wa kidigitali katika masuala ya fedha yanasimamiwa na kuendeshwa na benki kuu husika katika nchi au eneo husika 'Central Bank'

Je ni jinsi gani fedha hubadirika kutoka fedha zinazoshikika 'Physical Money' kwenda fedha za kimtandao 'Digital Currencies/E-Money'.?

Mwanzo fedha huwa ni zenye kushikika lakini kupitia process mbalimbali kama Mifumo ya ulipaji kidigitali, Mitandao ya simu na uuzwaji wa bidhaa kimtandao ndio hufikia hatua ya kutokea hizo nambari.

Nikitoka nyumbani na 3,000TZS nikaweza nunua Chips kwako kwa cash utakuwa umepokea 3,000TZS 'Physical Money' ambavyo wewe utaweza kuzitupa Mitandao X na kupokea fedha katika Tarakimu 'Nambari'. Mtandao baada ya makusanyo utaidhinisha na kuzituma katika Bank waweze kupokea cash au kuziendeleza katika mzunguko. Je ni wangapi hutumia mfumo huu na je ni fedha 'Physical Money' kiasi gani hutoweka na kupatikana Namba 'Digital Currencies/E-Money'.?

Fedha 'Physical Money' inapowafikia Central Bank hubadilishwa kwa kununua Vito hasa hasa Dhahabu, na Dhahabu hizo uhesabiwa ni zenye thamani ya fedha kiasi gani. (Kumbuka waliouza Dhahabu wamerudisha fedha katika maisha ya kawaida mfano, kutokana na manunuzi mbalimbali, kupeleka bank, bank kutoa mikopo cash, watu ku-withdraw pesa na hatma ya mwisho pesa inakufikia hapo ofisini kwako kutoka na Manengelo kununua Chips na Manengelo pesa itaipata kupitia mishahara yake.

Dhahabu iliyopo Central Bank itatumika kuagiza au kusafirishwa au kuuzwa kwa mhutaji na mhitaji atatuma hizo nambari na yeye atakayeipokea kule Guangzhou itajibadiri na yeye atapokea cash Maisha yataweza kuendelea.

Cash - Online 'Kati Kati' - Cash - Dhahabu 'Gold' - Nambari - Cash.
 
Mfano unakuta kodi inakusanywa then kwa namba tu sio cash mpaka inafika serikari kuu pale hazina eg.BOT,

Unaweza kuta BOT nao wanahizinisha, kwa namba hizo hela kwenda kwenye miradi ila mwisho kabisa mtu anapokea Cash,

Au Serikari inavyoenda kukopa WB(Word Bank ) mi naamini hawapewi Cash, wanapewa minamba tu lakini mwisho wa siku mtu wa mwisho anapokea cash,

Nani alianzisha hiyo System, na nani anacontrol all the System katika Dunia hii,

Na Bank ya Dunia nani alianzisha, nani anaicontrol, Je kila nchi ina Acount yake pale Bank,
Nani anasimamia mzunguko wa hizo pesa za minamba namba huko Bank,

System nzima ya Dunia inavyojiendesha kuanzia utengenezaji wa hela, business Control,
Money transfer ni nani anasimamia.

Cc Zero IQ
Labda tumuulize jasusi Yericko Nyerere
 
Mifumo yote ya Kielectronic ya fedha imezinduliwa Marekani na inasimamiwa na wao wenyewe ndio maana Marekani ana jeuri na nguvu ya kukuwekea sanctions kwa sababu anajua mifumo yote ya fedha ya Mabenki ni yeye ndio anaeimiliki.
 
"Let me issue and control a nation's money and I care not who writes the laws."
Meyer Amschel Rothschild
Mfano unakuta kodi inakusanywa then kwa namba tu sio cash mpaka inafika serikari kuu pale hazina eg.BOT,

Unaweza kuta BOT nao wanahizinisha, kwa namba hizo hela kwenda kwenye miradi ila mwisho kabisa mtu anapokea Cash,

Au Serikari inavyoenda kukopa WB(Word Bank ) mi naamini hawapewi Cash, wanapewa minamba tu lakini mwisho wa siku mtu wa mwisho anapokea cash,

Nani alianzisha hiyo System, na nani anacontrol all the System katika Dunia hii,

Na Bank ya Dunia nani alianzisha, nani anaicontrol, Je kila nchi ina Acount yake pale Bank,
Nani anasimamia mzunguko wa hizo pesa za minamba namba huko Bank,

System nzima ya Dunia inavyojiendesha kuanzia utengenezaji wa hela, business Control,
Money transfer ni nani anasimamia.

Cc Zero IQ
 
Mfano unakuta kodi inakusanywa then kwa namba tu sio cash mpaka inafika serikari kuu pale hazina eg.BOT,

Unaweza kuta BOT nao wanahizinisha, kwa namba hizo hela kwenda kwenye miradi ila mwisho kabisa mtu anapokea Cash,

Au Serikari inavyoenda kukopa WB(Word Bank ) mi naamini hawapewi Cash, wanapewa minamba tu lakini mwisho wa siku mtu wa mwisho anapokea cash,

Nani alianzisha hiyo System, na nani anacontrol all the System katika Dunia hii,

Na Bank ya Dunia nani alianzisha, nani anaicontrol, Je kila nchi ina Acount yake pale Bank,
Nani anasimamia mzunguko wa hizo pesa za minamba namba huko Bank,

System nzima ya Dunia inavyojiendesha kuanzia utengenezaji wa hela, business Control,
Money transfer ni nani anasimamia.

Cc Zero IQ

kuna watu wapo nyuma ya pazia dunia hii,na ndio wanaendesha dunia ukifuatilia sana utaumia.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom