Ni kina nani hasa hawa K'njaro 2, Dar 2, Mara 1 na Manyara 1? Internet imefumbua fumbo na sababu zao za kuhama

Weende tu coz tutakua tumejenga kiwanda kina itwa Hamahama ko idadi ya viwanda itaongezeka sijui na uchumi utampanda or la
 
Wabunge wa CCM jiuzuluni nanyi muunge juhudi za Serikali ya Awamu ya 5 , Serikali ya Magufuli.
 
Ipo siku na zama fulani, makaburi yatafukuliwa na watu watafikishwa mahakamani au kuwajibishwa kwa rushwa hii iliyobatizwa kuunga mkono, na kuiongezea serikali gharama zisizo za lazima kwa kufanya chaguzi za marudio wakati ushahidi uko wazi kabisa kuwa, wanaojiuzuru wananunuliwa kwa fedha, kuahidiwa madaraka kupitia teuzi na ajira za serikali au kuhakishiwa mazingira ya kurejeshwa kwenye nafasi walizo jiuzuru, ambazo zote hizi kisheria ni aina tofauti za rushwa. Natumai jinai hiyo itashughulikiwa, one day one time katika awamu fulani. Wa kwanza atakuwa Mnyeti ambae ushahidi wa video upo hadharani. Pengine hata yule samaki mkubwa Nyangumi ataweza kuwajibishwa kwa kuondolewa kinga na kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka, kubariki rushwa kwa kujiimarisha yeye binafsi, huku akiuhadaa umma kuwa anapendwa sana na kuhujumu uchumi kwa kulitia hasara ya mabilioni taifa kwa kurudia chaguzi, zisizo na tija ambazo zimeasisiwa na rushwa hii ya madaraka ili kuunga mkono 'the one man show'.
 
Duuh pressure inapanda na kushuka,Lisu nasikia kesho anapress huko Belgium anaweza fuata nyayo za Gekul,akifanya ivyo tunampelekea dreamliner ikamchukue mgonjwa:D:D:D:D
 
Haya tushayazoea sasa hivi siwezi shangaa lolote, lakini je wakitoka wakaenda ccm ndo nchi inapata maendeleo? Upuuzi mtupu watu weusi tutasubiri sana. Wenzetu wanaunda vitu sisi tunanunuana wenyewe kwa wenyewe. Upumbavu tu!
Wakibaki huko walipo ,nchi itapata maendeleo?
 
Back
Top Bottom